carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 265
what!dah!!!!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
what!dah!!!!!!!!!!!!
well,
she is doing some silly mistakes.ai miin utoto utoto fulani.last incidence ametapeliwa na vijana simu,pochi na hela nyingi tu.sijui kilichoendelea mpaka wakamuwekea cocain kwenye soda.kakutwa amezidiwa kwenye fukwe mojawapo hapa dar.namshukuru msamaria aliyemuokota akaikuta kadi yangu kwenye jeans yake na kunipigia simu.thank god hakubakwa!
Well,sitaki kulikumbuka hili
too late broda si tulishamaliza kusolve kesi we ndo unaamka. acha kutukumbushia machungu bana.ayaaaaahhhh....
Well,
wakamuwekea cocain kwenye soda.kakutwa amezidiwa kwenye fukwe mojawapo hapa dar.
thank god hakubakwa!
well,sitaki kulikumbuka hili
Well,
kakutwa amezidiwa kwenye fukwe mojawapo hapa dar.thank god hakubakwa!
well,sitaki kulikumbuka hili
Hahahahah........sitaki kuimajini
We bana wewe haya tumeshayamaliza wewe unaleta maneno ili mambo yaharibike ili umuowe wewe?
Mpwa huwa naangalia maisha ya watu walio kwenye ndoa na walio kwenye mahusiano ya kawaida, nakuambia mpwa kosa kubwa kabisa kuwaoa hawa viumbe watakusumbua sana, nakuambia isingekuwa ni taratibu za mazoea mi nisinge oa ningeendelea kumdate my luv wangu hadi tunakufa, ila kwa kuwa ni mazoea nitakuwa boifrendi hadi hapo tutakapo zeekazeeka.
you can say it again brother!hawa ndo mashogwa wa kwenye ile thread nyingine...!😀
No hapana Mkulu vicheche vilevi-levi sio zangu....
Huyu alikunywa beer za watu, watu wakajimegea chao.
Geof, Kindly dont waste your time on this guy. Pls usiharibu mood zako at a time like this, go and do as i told you.kabebe boksi mchumba!libebe vizuri ili UTATULIWE MATATIZO YAKO YA NYUMA!
ni kweli sisy!Geof, Kindly dont waste your time on this guy. Pls usiharibu mood zako at a time like this, go and as i told you.
kwa vile huyu anakuja kuchafua hali ya hewa hapa, naomba hata mimi nitoke ataniudhi bure.
we gay vipi?unavyomegwa na ma-beach boy unadhani kila mwanamke?
sorry for you!ambaye hujui mkasa ulivyokuwa.lakini kwa sababu unajua alienda kunywa,IWE HIVYO HIVYO!Look who is taking, asingeenda beach kunywa na ma beach boy then mwisho wakamega, anakudanganya alipewa coke...kama vipi kawatafuta wachina wakupa viagra....fanya hima mzee.
sorry for you!ambaye hujui mkasa ulivyokuwa.lakini kwa sababu unajua alienda kunywa,IWE HIVYO HIVYO!
sorry for you!unaejua mapenzi ni kumegwa!(labda kwasababu kumegwa ni biashara yako popote ulipo)!my love-affair is more than what you think
on the serious note:I LOVE MY CHICK!
by the way:ukitaka tutukanane kwa heshima zaidi twende kwa pi-emu
sorry for you!ambaye hujui mkasa ulivyokuwa.lakini kwa sababu unajua alienda kunywa,IWE HIVYO HIVYO!
sorry for you!unaejua mapenzi ni kumegwa!(labda kwasababu kumegwa ni biashara yako popote ulipo)!my love-affair is more than what you think
on the serious note:I LOVE MY CHICK!
by the way:ukitaka tutukanane kwa heshima zaidi twende kwa pi-emu
Siko hapa kwa ajili ya kutukanana kaka, nilikuwa najaribu kukuuliza maswali ambayo yamenijia matokeo yake badala ya kunijibu au kukaa kimya ukaanza kunishambulia kwa matusi, sijakutukana wala sina nia hiyo.
MJ: Kaka lakini kuna msemo mmoja wanasema unafua lenini iliyochafuka nyumbani na siyo barabarani (nadhani tafsiri itakuwa sawa), you love your chick YES lakini kwa mtazamo wangu sidhani kama ilikuwa vema kuja kumvua ngua hapa janvini, japo kuwa watu hapa hawajuani.
Wasalaam
MJ