I'm going through hell!...should i keep going?

I'm going through hell!...should i keep going?

hiyo company hainifai mana naona heineken zimepigwa marufuku mapema, nifikirieni na Ballantin bac.

mtandao huo nyamayao ni nzuri zaidi tusionane!labda kama kila mtu awe anajinunulia..............😀
 
Geoff ukifika home leo utamwambia nini wife ? teh teh teh naamini utatoka JF mashaka moyoni yameisha chini ya Jopo zima la washauri na watani wako
 
hata nikizima sina shaka, naamini mabinamu, wapwa na mashemeji mtahakikisha nimefika salama nyumbani kwa shemeji yenu ama?

hapa usitie shaka kabisa. Nyamayao na miye tupo! pembeni yupo binamu Chrispin, Mpwao Nguli, Dogo Fidel, na majirani kina Burn, FL, ZD, Masanilo yeye atabaki kulipa bill😀
 
hata nikizima sina shaka, naamini mabinamu, wapwa na mashemeji mtahakikisha nimefika salama nyumbani kwa shemeji yenu ama?[/quote]

shaka ondoa!
personnally nakuhakikishia ulinzi wa kutosha!shemeji yangu akilewa huwa ni mkorofi sana,lakini nitamdhibiti.....(ATAKUJA NA MCHUMBA WAKE,ZD)wengine wooote wapwa zangu HAWANA MADHARA!(majoka ya kibisa)!ai miin wana kommitments zao
 
Geoff ukifika home leo utamwambia nini wife ? teh teh teh naamini utatoka JF mashaka moyoni yameisha chini ya Jopo zima la washauri na watani wako
we acha tu dada angu!i can't wait to get there!
 
Geoff ukifika home leo utamwambia nini wife ? teh teh teh naamini utatoka JF mashaka moyoni yameisha chini ya Jopo zima la washauri na watani wako
Good qns,
lakini usisahau kupitia maua na wine pleeeeeees,
 
Geoff ukifika home leo utamwambia nini wife ? teh teh teh naamini utatoka JF mashaka moyoni yameisha chini ya Jopo zima la washauri na watani wako
Good qns,
lakini usisahau kupitia maua na wine pleeeeeees, maana nauhakika muamala ushatema, so there should be no problem ku make sure this night is not forgotten.
 
Good qns,
lakini usisahau kupitia maua na wine pleeeeeees, maana nauhakika muamala ushatema, so there should be no problem ku make sure this night is not forgotten.

so you can suggest ingredients for tonigh'ts recipe:
1. wine (white/red; strong/light)
2. Flowers (roses?)
3............
4.............
5. Tabasamu
6.............
7................
 
sasa jamani mbona mie mnanifanyia hivyo, kama round kreti c mnipe kitu roho yangu inataka?
tatizo mimi nina allerg nazo!mtu akinywa hizo kwa pesa yake ndo huwa zinanoga.....!😀
 
sasa jamani mbona mie mnanifanyia hivyo, kama round kreti c mnipe kitu roho yangu inataka?
Jamani msimunee nyamayao jamani, tafadhali mwacheni nae rroho yake ifurahi maana kazi aliyoipiga hapa leo si mchezo!
 
.....yes!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and i fo0rgive,forget then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.

The worst part of my marriage ni kwamba,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.

I am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!

dah!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom