I'm going through hell!...should i keep going?

Hahahaha! Mshenga bana! Umemuona mpwa anajivinjari nini? Mpwa leo TANESCO wamempatia habari yake.

nimemwona apo juu ananyata kama kawaida....kiongozi hawa Tanesco we acha tu....wasije wakasabbaisha bia zikakosa ubaridi mida mida!😀
 
jamani pls badili hiyo avatar naogopa mwenzio, hata horror movies siwezagi kuwatch, pleaaaaaaaaaase. Nguli niombee tafadhali. na kwa heshima ya Geof na mrembo wake na shemeji yake chriss pamoja na ZD, nYAMAYAO NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA,NAKUOMBA UBADILI.

amekuelewa mkuu carmel!tupo pamoja.jamani nawashukuruni saaana kwa kujali
 
na wale wengine bado wamepanga foleni? hahaaaaaaaaa. Fidel toa belated advice bas.

Hehehehe ngoja TANESCO waniwekeee sawa mambo hapa maana ni makunyanzi tu mara wanakata mara wanarejesha siwaelewi elewi naona bora wanunue tu hiyo Mitambo waliyo kuwa wang'ang'ania maana chamoto nimekiona.
 
Mpwa kama kuna kitu kinawapa jeuri kubwa hawa watu ni ndoa, mimi ndio maana ninaishi na mtu mwaka nne sasa hata discussion ya kuhusu ndoa siruhusu ianze maana visa kama hivyo hawezi kuleta kwenye u boifrend na ugelfrend.

Burn ma man!,
Whichever life u live na huyo unayeishi nae sasa ni ndoa kwa jinsi yake bado tu hujairasmisha (formalization). Huoni unatafuta matatizo zaidi kuishi na mtu pasipo mwelekeo nae????? Nadhani hata kama unaishi na kimada au hawara, matatizo na misuguano ipo pale pale na mbaya zaidi ni uliemwoa unaweza kumdhibiti akivuruga kuliko hawara au kimada (she is like any man's farm). Kama huna mpango nae anakupotezea wakati wala usijalipu kumtupia kiumbe mwilini mwake, akizaa kama hujaoa ni kero zaidi ambao hakuna unayeweza kukushauri ukaelewa.......
 
na wale wengine bado wamepanga foleni? hahaaaaaaaaa. Fidel toa belated advice bas.
lol!mimi siingilii.tutayajadili vizuri na kwa kujiamini zaidi neksti satadei
 
na wale wengine bado wamepanga foleni? hahaaaaaaaaa. Fidel toa belated advice bas.

Hahaha! Leo Carmel utakuwa umefurahi sana. Pamoja na uchoyo wako hicho kidude cha thanks leo kimekutambua. Mi mwenyewe binafsi umenigongea sita. Ukigonga na kwenye hii posti itakuwa ya saba. Itakuwa rekodi. Mpwa Geoff naye kagonga sana leo. Hahaha! Ngoja tuone mwenye bahati ya kugongewa na mpwa wangu Fidel. Kwenye mada kama hizi huwa hakionagi. Zile za kumegana na za ulabu, lol!!! anakigonga sana (Sorry nimetoka nje ya perimeter! Hahaha!)
 
jamani pls badili hiyo avatar naogopa mwenzio, hata horror movies siwezagi kuwatch, pleaaaaaaaaaase. Nguli niombee tafadhali. na kwa heshima ya Geof na mrembo wake na shemeji yake chriss pamoja na ZD, nYAMAYAO NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA,NAKUOMBA UBADILI.

jamani mwenzenu mpaka nili-MP ili abadilishe avatar lakini mwenyewe anaipenda sana sijui Mwanga huyu 🙂🙂🙂
 
Hahaha! Leo Carmel utakuwa umefurahi sana. Pamoja na uchoyo wako hicho kidude cha thanks leo kimekutambua. Mi mwenyewe binafsi umenigongea sita. Ukigonga na kwenye hii posti itakuwa ya saba. Itakuwa rekodi. Mpwa Geoff naye kagonga sana leo. Hahaha! Ngoja tuone mwenye bahati ya kugongewa na mpwa wangu Fidel. Kwenye mada kama hizi huwa hakionagi. Zile za kumegana na za ulabu, lol!!! anakigonga sana (Sorry nimetoka nje ya perimeter! Hahaha!)

SO FAR,
carmel na shemeji mmekuwa pamoja nami kwa siku yoote ya leo!nawashukuru sana.nawaahidi nitapigana kufa na kupona kuiokoa marriage yangu!

by the way:nitawaagizia raundi mbili ''spesho'',ninyi wawili na nguli na maji yake kwa ajili ya mazungumzo zaidi siku ya jumamosi
 
Hivi Geoff kama huyo hakutaki kwa nini usitafute mwingine uwe nao wawili? Kisha ukachuja yupi mwenye penzi la kweli?
 
sasa homeboy naona hapa tunatofautiana idara!............
 
Hahaha! Leo Carmel utakuwa umefurahi sana. Pamoja na uchoyo wako hicho kidude cha thanks leo kimekutambua. Mi mwenyewe binafsi umenigongea sita. Ukigonga na kwenye hii posti itakuwa ya saba. Itakuwa rekodi. Mpwa Geoff naye kagonga sana leo. Hahaha! Ngoja tuone mwenye bahati ya kugongewa na mpwa wangu Fidel. Kwenye mada kama hizi huwa hakionagi. Zile za kumegana na za ulabu, lol!!! anakigonga sana (Sorry nimetoka nje ya perimeter! Hahaha!)
nimekugongea ya saba binamu. mi huwa sizibanii ila basi tu. leo kama mod angekuwa kaziacha free ningezigonga hadi ufurahi, ila mara zitokee mara zipotee. ila usijali, kwa ajili ya GeOF KILA ANAEONGEA POINT YA KUMRUDISHA KIMWANA ZIZINI ANAKULA SENKS.
 
Hivi Geoff kama huyo hakutaki kwa nini usitafute mwingine uwe nao wawili? Kisha ukachuja yupi mwenye penzi la kweli?
Wapi G kasema kimwana hamtaki? bado una hangover nini Fidel.
 
nimekugongea ya saba binamu. mi huwa sizibanii ila basi tu. leo kama mod angekuwa kaziacha free ningezigonga hadi ufurahi, ila mara zitokee mara zipotee. ila usijali, kwa ajili ya GeOF KILA ANAEONGEA POINT YA KUMRUDISHA KIMWANA ZIZINI ANAKULA SENKS.[/QUOTE]

hahahahah!nimekubali nimekubali.wewe mwenzetu kabisa wewe.nitakupa kadi ya uanachama.

hivi unatumia BIA GANI?............muhudumu leta taska kwa mrembo hapa...!(ooh,off-topic?NO)
 
Back
Top Bottom