I'm going through hell!...should i keep going?

Hahaha! Uje kwa uangalifu mchumbangu ZD ana wivu sijapata kuona! Hahaha! Mbona ulishindwa kunispot maeneo ya Tegeta? Binamu bana!
Haaa, mi sina neno na ZD, asiwe na mashaka, mimi ntakuwepo kuhakikisha kila kitu kiko sawa, yani nyie ndugu zangu muwe na furaha, aaah hapo mi roho yangu itakuwa shwaaari.
Tegete nilikuspot ila tu nikakupotezea maana ulikua busy sana na kale ka bar maid ka kondoa.
 
ZD Uko wapi mamii? Unaona hawa wanataka kutupiku?

Uzoefu binamu unasaidia..nyie si bado wachumba? sio tuko ndoani tayari na tuko happy..lol

Mwenyekiti mwaga details za location...meeda? Kona? au MK? Nyama chabez..au mbagala Zakheem? au Rose garden...BP?
 
mimi nipo nangojea PM tu nipewe kiwanja cha jmos, hiyo siku hubby itabidi tu aelewe, ntakuwa nashughulikia maswala ya kijamii.

Hahaha! Binamu, at last leo nimecheka. Dada yangu alikuwa amenivurugia siku yangu! Ningempeleka wapi? Si unajua mawifi walivo na gubu? Si wangeuana na ZD wangu?
 
Haaa, mi sina neno na ZD, asiwe na mashaka, mimi ntakuwepo kuhakikisha kila kitu kiko sawa, yani nyie ndugu zangu muwe na furaha, aaah hapo mi roho yangu itakuwa shwaaari.
Tegete nilikuspot ila tu nikakupotezea maana ulikua busy sana na kale ka bar maid ka kondoa.

😀😀😀😀😛😎
 
mimi nipo nangojea PM tu nipewe kiwanja cha jmos, hiyo siku hubby itabidi tu aelewe, ntakuwa nashughulikia maswala ya kijamii.
poa poa,
nakufuata chamber sasa hivi!........shemeji chrispini nisamehe bure,ni maswala ya jamii tu
 
mapenzi KIZUNGUMKUTI!hahahahah.....na kweli napenda kuwapa updates kwamba hadi mida hii MASHAMSHAM YAMEZIDI KIWANGO!sijui kimetokea nin
huh huh! someone is overwhelmed by luv.
"somebody needs you like never before.........😀 ah westlife i guess
 
Uzoefu binamu unasaidia..nyie si bado wachumba? sio tuko ndoani tayari na tuko happy..lol

Mwenyekiti mwaga details za location...meeda? Kona? au MK? Nyama chabez..au mbagala Zakheem? au Rose garden...BP?

Nimewaomba wapwa na mabinamu wanielekeze kwa PM makazi yao ili nitafute location itakayokuwea bomba kwa wote lakini wamenichunia. Sijakata tamaa lakini. Lol! Binamu tunawabuku we na mrs muwe bestman na matron kwenye harusi yangu na mchumbagu ZD. Hpoe nimekubaliwa!
 
tehe tehe..kama kawaida nitamconsult Mrs, lakini sidhani kama lina kwikwi hili!
 
poa poa,
nakufuata chamber sasa hivi!........shemeji chrispini nisamehe bure,ni maswala ya jamii tu

Hahaha! Bwashee bana! Sina mashaka na Mshauri nasaha Carmel. Ruksaa!!
 
Labda bibie anasoma hapa JF akaona mmh...😀
Yaani, ujue huwa wanasoma hapa, mi najua my hubby anapitaga humu. huwa ananiambia, .."huwa nasoma kila kitu kwenye mahusiano kule, pay attention ya yale ambayo huwa mnadiscuss mule" mmmh sijui ananijua my geez! tatizo ananijua mno yani hadi nachowaza so i guess kwa kusoma comment zangu hapa uwiano wa maneno na my wife wake anajua tu ni mimi. I pray awe hana uhakika du.
 
lol una bahati ID yako haijui..lakini anaweza kuspeculate lol...so mdogo mdogo😀
 
yaani, ujue huwa wanasoma hapa, mi najua my hubby anapitaga humu. Huwa ananiambia, .."huwa nasoma kila kitu kwenye mahusiano kule, pay attention ya yale ambayo huwa mnadiscuss mule" mmmh sijui ananijua my geez! tatizo ananijua mno yani hadi nachowaza so i guess kwa kusoma comment zangu hapa uwiano wa maneno na my wife wake anajua tu ni mimi. I pray awe hana uhakika du.
atakuwa anakujua!
 
.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.

THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.

i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!

Sasa ushapata mawazo murua tayari? tupe conclusion yako baba! najua inauma sana, kila mwenye ndoa ana zigo lake la kutisha we ona tu mnakaa baa mnacheka kumbe hamna lolote, ukitaka kuprove angalia mwanaume mida wa kutaka kuagana/kuondoka expresion ya uso anayoitoa utajua huyu anafurahia kurudi home au la!
 
I really love her!i can't think anything different out of love.mawazo yenu mazuri nitayafanyia kazi.

UBARIKIWE SANA
 
Back
Top Bottom