carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 265
Haaa, mi sina neno na ZD, asiwe na mashaka, mimi ntakuwepo kuhakikisha kila kitu kiko sawa, yani nyie ndugu zangu muwe na furaha, aaah hapo mi roho yangu itakuwa shwaaari.Hahaha! Uje kwa uangalifu mchumbangu ZD ana wivu sijapata kuona! Hahaha! Mbona ulishindwa kunispot maeneo ya Tegeta? Binamu bana!
Tegete nilikuspot ila tu nikakupotezea maana ulikua busy sana na kale ka bar maid ka kondoa.