I'm going through hell!...should i keep going?

the most appreciated!
halla dude1tuko pamoja.thank god mambo yenyewe yamekwisha
 

Ouchhh.........lol
 
the most appreciated!
halla dude1tuko pamoja.thank god mambo yenyewe yamekwisha

duh, kitu kimekula pepa kadhaa atlast solusheni imepatikana, nadhani binamu Chrispin alikua pamoja sana nawe, binafsi sore I was kinda occupied baizewei hata ningekuwepo ningejikuta nakua mpole sana coz juzkati yalinikuta hayo ningejikuta napata mauchungu ya ajabu!!.
weekend hii njoo nae pale mahali pa-OFF CHATS tule ndovu!!
 
pamoja sana mkuu!
jipange sasa,mida ya kusepa.vipi upo masaki?
 

keep on going man, enjoy the ride bana...

kesho keshokutwa mtakuwa mezani au kibarazani mnakumbushana hili,
am 99.9% mtakuwa mnajicheka wenyewe...

Ni vijimambo tu 😀😀😀
 


1.In marriage, mistakes are made..nobody is perfect
2. Matatizo ya ndoa huwezi kutegemea msaada kutoka kwa watu wengine maana it really destroys trust and confidence.That was a silly mistake on your part to call in a third party to advise your wife - tena kaka! Si unajua male solidarity..inawezekana ulimwita kwa vile unajua mnaelewana wewe na shemeji na hivyo atakusaidia kumgombeza na siyo kutafuta suluhu kwa kuangalia pande zote.Bora ata angekuwa mtu wa mbali na siyo ndugu!
3.You will overcome the hell experience and things will be normal again believe u me! Its a question of time be patient.
 
My take: Kitendo cha kumwambia kaka yake ameona kama uko weak..that is why analeta za kihivyo...so far on your deep heart ulikuwa so innocent kama vile una-solve..problem haya majitu hayahitaji uwe innocent kihivyooo lol
Cha kufanya itabidi umbembeleza urekebishe hiyo hali hata kama ni kwa mtu day or two days out muongee yote na kwa muda..mrefu...kisiachwe kitu..ikiisha heri
Yet..kama bado kununa nuna kama kawaida..dawa ya mwanamke ni mwanamke weka second wife uendelea ku-enjoy nini presha bro..
 
naomba mods waifunge hii thread!nimeshasolve problemz zangu!TAFADHALI
 
with all due respect sir, on behalf all female human beings, we feel offendend by your words. Next time find better words from that mouth of yours to utter in the public concering this gender.
FYI Geof isnt a muslim to get a second wife if that head of yours think its the only solution. Good day.
 

tumain anasahau kwamba wanawake ni MAMA ZETU!kuwatukana kirahisi rahisi hivyo ni kukosa busara,kama unamvua nguo mama yako
 
Mkuu, umenifunua jambo. Kumbe na ZD wangu yuko anauchuna tu! Thanks man! Na kule nimekugongea, angalia tena.

My love kwa nini nikufanyie hayo? Pengine Mode alisahau kutoa jina langu niliposign out,kila mara nakwambia usiwe na shaka nami nipo kwa ajili yako.I want you to know I will always love you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…