[COLOR="Blue" said:Chrispin;632184]Bwashemeji am a bit confused! Anayeongelewa hapa ni yuleyule dada yangu or someone else[/COLOR]?
Pole sana mkuu ila hata hivyo nadhani nimesoma hii very late
dah late sana jamaa sa hizi anaagizwa ndimu na pili pili kama sijakosea
Hehehehe alikwambia nn? Au unafikiri jamaa nae alijaribu kwanza ze nidifull
Duh kweli wewe ni mvumilivu!!
Well,
She is doing some silly mistakes.ai miin utoto utoto fulani.last incidence ametapeliwa na vijana simu,pochi na hela nyingi tu.sijui kilichoendelea mpaka wakamuwekea cocain kwenye soda.kakutwa amezidiwa kwenye fukwe mojawapo hapa dar.namshukuru msamaria aliyemuokota akaikuta kadi yangu kwenye jeans yake na kunipigia simu.thank god hakubakwa!
well,sitaki kulikumbuka hili
Be careful ndugu,is it god or God???Is it christ jesus or Christ Jesus??Hilo ni jina lipitalo majina yote how come haulitendei haki ndugu?Geoff hayo ni mapito tu ya maisha ni mkeo angalia namna ya kusolve tatizo kila mwanandoa anapitia hayo jaribu kupata suluhu
Ongea na mkeo tena na tena na ikishindika zaidi mshirikishe mama au baba yake na imani watakusaidia kupata ufumbuzi wa tatizo lako usiogope kupata ushauri hata akwambie una kiherehere wewe unataka kuinusuru ndoa yako ..ukiwashirikisha wazazi wako anaweza kulalamika kwa nini umefanya hivyo
usisahau kupiga got na kuomba
When your in need.......
HE WILL PROVIDE
and this same god who takes care of me will supply all your needs from his glorious riches which have been given to us in chirst jesus
Philippinias 4:19
pole na matatizo.
ushauri: usipoteze mwelekeo (don't panic) , kukumbana na vitabia vya ajabu ajabu kwa mwenza wako ni kitu cha kawaida na itachukua muda wa miaka kuviweka sawa, na jitahidi wewe kama mwanamme kuvikabili peke yako kadiri inavyowezekana bila kumshirikisha jamaa au rafiki, na pale itakapolazimika umshirikishe mtu ,basi mtahadharishe mwenza wako kwanza, kwamba kama hajajirekebisha basi utawashirikisha majamaa! ili ajue in advance ni nini kitatokea. Nadhani ile yeye kufuatwa na kaka yake bila kutegemea imempata bila kutarajia, hivyo na yeye hisia asizozitarajia zikamtawala.
na usione tabu kuomba msamaha pale ulipokosea kwani hii itamfunza yeye awe jasiri wa kukuomba msamaha kwa makosa yake pia.
quiet.
.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.
THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.
i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!
I am happily in love............
I am enjoying my marriage.........
I am expecting........................
Thanks god
thread closed
I am happily in love............
I am enjoying my marriage.........
I am expecting........................
Thanks god
thread closed
Nani kaliibua hili sredi la JF Version 1?
Watu tulishacheza hede hede siku miiiingi.
Na mshikiz yuko full kujiachia ndani ya nyumba, chini ya uangalizi wa kina wa secretary general mama matesha!!!!!!!!
Hede mshikiz hedeeeeeeeeeeeee!