I'm going through hell!...should i keep going?

I'm going through hell!...should i keep going?

[COLOR="Blue" said:
Chrispin;632184]Bwashemeji am a bit confused! Anayeongelewa hapa ni yuleyule dada yangu or someone else[/COLOR]?

Unaonekana kabisa kwamba hujaoa na hivo hutilii maanani matatizo ya mwenzio. Punguza utani ndugu yangu Chrispin, Jamaa yuko siriazi!!!!!!!!!
 

Well,
She is doing some silly mistakes.ai miin utoto utoto fulani.last incidence ametapeliwa na vijana simu,pochi na hela nyingi tu.sijui kilichoendelea mpaka wakamuwekea cocain kwenye soda.kakutwa amezidiwa kwenye fukwe mojawapo hapa dar.namshukuru msamaria aliyemuokota akaikuta kadi yangu kwenye jeans yake na kunipigia simu.thank god hakubakwa!

well,sitaki kulikumbuka hili
Duh kweli wewe ni mvumilivu!!
 
Geoff hayo ni mapito tu ya maisha ni mkeo angalia namna ya kusolve tatizo kila mwanandoa anapitia hayo jaribu kupata suluhu
Ongea na mkeo tena na tena na ikishindika zaidi mshirikishe mama au baba yake na imani watakusaidia kupata ufumbuzi wa tatizo lako usiogope kupata ushauri hata akwambie una kiherehere wewe unataka kuinusuru ndoa yako ..ukiwashirikisha wazazi wako anaweza kulalamika kwa nini umefanya hivyo
usisahau kupiga got na kuomba


When your in need.......
HE WILL PROVIDE
and this same god who takes care of me will supply all your needs from his glorious riches which have been given to us in chirst jesus
Philippinias 4:19
Be careful ndugu,is it god or God???Is it christ jesus or Christ Jesus??Hilo ni jina lipitalo majina yote how come haulitendei haki ndugu?
 
Stand on your own + god, wenye ndoa wote lazima muwe na hofu ya mungu-na hii ndo inaleta kusameheana hata mnapokoseana.
 
Kaka Geog, mimi ni mtu mzima naomba niwe mkweli maana nimesoma mlolongo wa ushauri mzima naona unatolewa na watoto wenzako tu wasio na experience yoyote ama kupitia hayo unayopitia. Huo mfano unaouita mdogo uliotupa sio mdogo, ni bonge la soo na si sifa kwa mwanamke yoyote anayejiheshimu awe na ndoa ama asiwenayo. Inawezekana mkeo ana utoto lakini kikubwa ni kukosa adabu kabisa na kiburi. Mimi sikubaliani na wanaosema ndoa ni ya watu wawili si kweli. Hukukosea kabisa kumweleza shemejio juu ya tatizo hili, ni sawa kabisa. Kwa mwanamke mwenye kujiheshimu na muoga wa ndoa angejua kuwa yamekufika pomoni na kwamba umechoka na unataka mwisho wa hilo. Anapata wapi guts za yeye tena mkosaji kunyanyua pua? ni muda muafaka wa yeye kutambua ni nani mkuu wa kaya na ni wewe wa kumtambulisha hilo. Mwite kaka yake huyo na tena muongezee na mama yake ama hata baba yake, weka matatizo yake peupe sitaki kuwa mnafiki wa kusema labda wewe ndio tatizo ndo sio mashindano wala kwenye ndoa hakuna usawa, hayo ya usawa ni hekaya za vitabu vya wazungu hata wao kwenye ndoa zao kuna mipaka. Ikiwezekana mrudishe kwao umuangalie tabia, hata kama unampenda kama si wako si wako mke unapewa na mungu kama huyo ni wakuvamia hata ufanye nini hatafugika. Nakutahadharisha kwa kuwa leo hakubakwa alhamdulilahi kesho ataliwa kama samaki bila drugs utajuaje? AIDS is real mdogo wangu chukua hatua maana hata ukinyamaza, your house is on fire hakuna maisha hapo. Pole kama umeumia lakini ndio muarubaini wa tatizo lako meza japo mchungu
 
pole na matatizo.


ushauri: usipoteze mwelekeo (don't panic) , kukumbana na vitabia vya ajabu ajabu kwa mwenza wako ni kitu cha kawaida na itachukua muda wa miaka kuviweka sawa, na jitahidi wewe kama mwanamme kuvikabili peke yako kadiri inavyowezekana bila kumshirikisha jamaa au rafiki, na pale itakapolazimika umshirikishe mtu ,basi mtahadharishe mwenza wako kwanza, kwamba kama hajajirekebisha basi utawashirikisha majamaa! ili ajue in advance ni nini kitatokea. Nadhani ile yeye kufuatwa na kaka yake bila kutegemea imempata bila kutarajia, hivyo na yeye hisia asizozitarajia zikamtawala.
na usione tabu kuomba msamaha pale ulipokosea kwani hii itamfunza yeye awe jasiri wa kukuomba msamaha kwa makosa yake pia.

quiet.

Tumieni hekima na akili kuishi na wake zenu.

On the other hand, mshauri mkamuone daktari, pengine ana hormonal imbalance.
 
Bro Geoff,
Kabla sijakushauri, naomba nikuulize..... Do you still Love your wife?
.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.

THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.

i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!
 
Jamani haya mambo yashaisha, they are now very happy family, pls msitoneshe vidonda. Kwa ufupi this is sooooooo over.
 
Geoff kaka yangu pole sana yaani imeniuma sana mada yako hii naomba nirespond baadae kidogo. Why lakini??
 
I am happily in love............
I am enjoying my marriage.........
I am expecting........................

Thanks god

thread closed
 
I am happily in love............
I am enjoying my marriage.........
I am expecting........................

Thanks god

thread closed

Congrats Geof, Thread closed!
 
I am happily in love............
I am enjoying my marriage.........
I am expecting........................

Thanks god

thread closed

Thank You God but am going to sue Geoff for playing with my emotions!! Phweeee
 
Nani kaliibua hili sredi la JF Version 1?

Watu tulishacheza hede hede siku miiiingi.

Na mshikiz yuko full kujiachia ndani ya nyumba, chini ya uangalizi wa kina wa secretary general mama matesha!!!!!!!!


Hede mshikiz hedeeeeeeeeeeeee!
 
Hata hivyo tungekushauri umwache ungemwacha? nafikiri matatizo mengine siyo ya kushauriana chukua hatua mwenyewe. Ukubwa wa tatizo unaujua mwenyewe
 
Nani kaliibua hili sredi la JF Version 1?

Watu tulishacheza hede hede siku miiiingi.

Na mshikiz yuko full kujiachia ndani ya nyumba, chini ya uangalizi wa kina wa secretary general mama matesha!!!!!!!!


Hede mshikiz hedeeeeeeeeeeeee!

tatizo watu hawasomagi tarehe ya pandiko, yaani wanakurupuka tu na kuanza ku-flow!!!
 
Back
Top Bottom