pole na matatizo.
ushauri: usipoteze mwelekeo (don't panic) , kukumbana na vitabia vya ajabu ajabu kwa mwenza wako ni kitu cha kawaida na itachukua muda wa miaka kuviweka sawa, na jitahidi wewe kama mwanamme kuvikabili peke yako kadiri inavyowezekana bila kumshirikisha jamaa au rafiki, na pale itakapolazimika umshirikishe mtu ,basi mtahadharishe mwenza wako kwanza, kwamba kama hajajirekebisha basi utawashirikisha majamaa! ili ajue in advance ni nini kitatokea. Nadhani ile yeye kufuatwa na kaka yake bila kutegemea imempata bila kutarajia, hivyo na yeye hisia asizozitarajia zikamtawala.
na usione tabu kuomba msamaha pale ulipokosea kwani hii itamfunza yeye awe jasiri wa kukuomba msamaha kwa makosa yake pia.
quiet.