I'm going through hell!...should i keep going?

ha ha ha si kweli! kuna msemo wa ki u know wora i mini....unasema FAMILIARITY BRINGS NO FEAR!
mpwa hapa umepiga ki-bluray,vipi unaweza ukanisaidia kuliweka klia kwa faida yangu na wazawa wengine?
 
mpwa hapa umepiga ki-bluray,vipi unaweza ukanisaidia kuliweka klia kwa faida yangu na wazawa wengine?

hA HA HA HA! Mkizoeana sana heshima uoga/heshima inapungua mtu anaanza kuonyesha uhalisia wake. Mrekebishe then atatoa kihoja kingine unamrekebisha kidogox2 mtafika tu....usisahau red wine na maua kama ulivyoshauriwa na music wa Julio Iglesias au Jazz laiiniiiii! Na mashairi matamu ya kumpa mama kama huna sema ni kutumie...
 
thanks!hapo nimekuelewa
 
Achana nae before worse comes to worse.
Tafuta dada mwenye umri mkubwa kidogo.
Age matters a lot. You people like the young ones, lakini matatizo yake ni kama hayo.
Go for someone aneweza kuvumiliana kwa matatizo ambayo ni ya kawaida katika ndoa. Pole sana lakini better run away before it's too late.
 
What a wise first post from the Newest JF member. ZIIII!
 
Ukiangalia vizuri, ndio post yake ya kwanza huyo. Asikusumbue mchumba. Si tunasonga mbele daima.
 
Ukiangalia vizuri, ndio post yake ya kwanza huyo. Asikusumbue mchumba. Si tunasonga mbele daima.
Msameheni kadandia gari kwa mbele. Isitoshe ni mgeni jamani. S
Sasa Chrispin si unajua ni jukumu lako kuandaa mahali tugonge cheerz tukiwatakia wawili hawa maisha ya mapatano mbeleni?
 
Umenikuna nguli, nadhani unawajulia sana watoto wa kike, huwa hatuna makuu yani wine, maua na muziki laini tu unamaliza kesi kama unateleza vile. Usipotujua wanawake utateseka sana, same page pal!
 
Msameheni kadandia gari kwa mbele. Isitoshe ni mgeni jamani. S
Sasa Chrispin si unajua ni jukumu lako kuandaa mahali tugonge cheerz tukiwatakia wawili hawa maisha ya mapatano mbeleni?

Carmel umenena! litakuwa jambo la busara.
 
What a wise first post from the Newest JF member. ZIIII!

huyu sio mgeni wewe!!, HAJAMJUA tu binamu??, wageni huwa hawaingii chumbani moja kwa moja tena bila hodi!.
 
Ila Mrs mtaba akiwa na bf ni makosa...haha ha aha ha ha JF unafiki unafiki unafiki mtupu. puh!!!!!!!
mwenzio kaja kuomba ushauri kabla hajaharibu na sisi tumeingia kazini tangu asubuhi kumshauri na wanamaombi wameyandeleza na sasa kesi tumeimaliza, siyo wewe uliyetaka sisi tubariki uzinzi, no no no, mimi hata nikibaki peke yangu sitabariki uzinzi, nasema no, maana nina ndoa na najua maana ya ndoa. Ila wewe kwa kuwa ushaamua endelea bwana, si tunaokoa ndoa ambazo hazijafika ulikofika wewe.
All the best Mrs Mtaba.
 
Msameheni kadandia gari kwa mbele. Isitoshe ni mgeni jamani. S
Sasa Chrispin si unajua ni jukumu lako kuandaa mahali tugonge cheerz tukiwatakia wawili hawa maisha ya mapatano mbeleni?

Nadhani hii siyo out of point. Ntaenda kuorganise ka get together ka wapwa na mabinamu. For the first time ever, tumeimba wimbo mmoja. Hahaha! What a day! Would appreciate kama ningepata mapendekezo kutoka kwenu kwamba wapi ni sehemu muafaka. Sehemu ambayo ni almost katikati kulingana na makazi yetu. (Mambo ya usafiri na mafoleni si mnajua yanavyoboa?). Kwa baadhi yetu najua wengine tuko Tegeta, wengine, Kimara ,wengine msasani na Kinondoni. Kama kuna Mbagala or somewhere tofauti na hizi, please let me know.

Bwashee, mwambie sis kuwa kaka kashajichagua mwenyekiti wa kamati ya maandalizi! Hahaha
 
THANKS!inabidi nikupe hapa,kitufe kwangu sikioni kinakuja na kupotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…