Ila Mrs mtaba akiwa na bf ni makosa...haha ha aha ha ha JF unafiki unafiki unafiki mtupu. puh!!!!!!!
haha haaa, nguli nimecheka sana. Good point.Ushauri wa bure we mama stroke zinaua watu sana siku hizi jitahidi kuwa mwenye furaha wakati wote pia jaribu kuwa unaenda kujog kushusha stress una hasira sana infact nafikiri usiwe karibu na silaha ukiwa na hasira ni hatari, kama kazi yako ni mwalimu wa st. Halmashuri watoto wetu they are finished!
haha haaa, nguli nimecheka sana. Good point.
Achana nae before worse comes to worse.
Tafuta dada mwenye umri mkubwa kidogo.
Age matters a lot. You people like the young ones, lakini matatizo yake ni kama hayo.
Go for someone aneweza kuvumiliana kwa matatizo ambayo ni ya kawaida katika ndoa. Pole sana lakini better run away before it's too late.[/QUOTE
Samahani sana nonoo kwa niaba ya Chrispin,Nyamayao,Carmel,Nguli na wengineo, usitake kuziharibu juhudi zetu za kuiponya ndoa hii.huu ushauri naona wakati ushapita kwani Geoff kashaanza kugongewa simu na bibie na mambo yashaanza kuwa powa.Na amekubali kumtoa Bagamoyo wikiendi.Usituvunjie ndoa tafadhali.
halafu ZD nisaidie kumuuliza huyo cjui nono kuwa matatizo ya kawaida ya ndoa anayoyazungumzia yeye ni kama yapi? some pipo bwana....
haha haaa, nguli nimecheka sana. Good point.
My friend you dont need to go through that hell,u just do your things,be positive,just keep on lovin her for what she is,i hope she will change,hizo ni hali tuu huwatokea akina mama,or mayb amedanganywa na wenzake,na akijajua makosa yake atajirekebisha,naamini hukukurupuka kuoa.I beg you pls dare not to react,cause only fools reacts!!
NB:be easy and just have a little faith!!
mkuu shemeji naona na carmel naye atakuwepo jumamosi,au sio?
thank you mchaji kobe!ukifuatilia vizuri utagundua kuwa mambo mengi yameenda kama mlivyonishauri.na kilichotokea kwakweli ni kumshukuru mungu......!tupo okay kwa sasa
mmhh jamani, talaka? kwa lipi mrembo wa watu alilolifanya mpaka astahili talaka? hivi watu mnasema tu, mbona mie sioni ishu kubwa kwa mrembo wa G hapa jamani, nadhani ni vitofauti vilivyopo maishani tu, G naomba ucpate wazo la kufikiria labda mrembo anakufanyia haya coz unasaidiwa cjui nini na nini, muweke karibu kipenzi chako, ongea nae kama ifuatavyo, mitoko kwa wingi, mrembo ni hacra tu kwasasa hana kingine mbona kakucal muda cmrefu kuhusu ishu ya pete? watu wanadhani ndoa ni kwaya leo umeingia kesho unatoka... NYIE MNAPENDANA NA MUENDELEEE KUPENDA TOFAUTI ZIPO NI ZAKUWEKWA SAWA TU....GOODLUCK BABY BOY.
aah mpwa, mimi lazima nitie team, esp kama nikipewa enough information ya eneo la tukio, na nina uhakika lazima nitakuspot bila kuulizaπAfu Carmel huja comment kwenye kale ka idea ka get together. Au ushasahau nimeshajichagua kuwa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi?
aah mpwa, mimi lazima nitie team, esp kama nikipewa enough information ya eneo la tukio, na nina uhakika lazima nitakuspot bila kuulizaπ
Eeh,,,Mrs hapa nimekuwa a bit concerned..au wataka na mi tuk tuk yangu iishie magogoni huko kwa mawazo?π (nadhani sio off topic hii pia)
mapenzi bwana,sometimes ukiona huby hakupi attention, unaamua kujifaragua unanuna kidogo ili ubembelezwe na pia si unajua mkishasolve tofauti zenu kila mtu anakuwa na aeri mpya na nguvu mpaya ya kumplease mwenzie, basi kunanoooga.Mko okay kwa sasa hata siku haijaisha ikifika jumamosi itakuwa ndio kama vile mapenzi yanaanza halafu saingine drama kama hizi kwnye mapenzi safi sana....mnakuwa kama mnaanza upya.
haaaa mr nilikuwa namliwaza G hapo mr wangu, c unajua kwenye kuliwaza mtu mwenye prblm lazima umpe maneno matamu ackie ahueni? oooh luv u sooo much ma luv.
mapenzi KIZUNGUMKUTI!hahahahah.....na kweli napenda kuwapa updates kwamba hadi mida hii MASHAMSHAM YAMEZIDI KIWANGO!sijui kimetokea ninmapenzi bwana,sometimes ukiona huby hakupi attention, unaamua kujifaragua unanuna kidogo ili ubembelezwe na pia si unajua mkishasolve tofauti zenu kila mtu anakuwa na aeri mpya na nguvu mpaya ya kumplease mwenzie, basi kunanoooga.
mimi nipo nangojea PM tu nipewe kiwanja cha jmos, hiyo siku hubby itabidi tu aelewe, ntakuwa nashughulikia maswala ya kijamii.carmel naomba nikuvute chemba kidogo ili nijue ninakupaje location
haaaa mr nilikuwa namliwaza G hapo mr wangu, c unajua kwenye kuliwaza mtu mwenye prblm lazima umpe maneno matamu ackie ahueni? oooh luv u sooo much ma luv.