I'm going through hell!...should i keep going?

with all due respect sir, on behalf all female human beings, we feel offendend by your words. Next time find better words from that mouth of yours to utter in the public concering this gender.
FYI Geof isnt a muslim to get a second wife if that head of yours think its the only solution. Good day.

he doesnt meant to be rude to your gender you know that, now you know how does it felt to be reffered as Men are dogs and alike..unh?
 
My love kwa nini nikufanyie hayo? Pengine Mode alisahau kutoa jina langu niliposign out,kila mara nakwambia usiwe na shaka nami nipo kwa ajili yako.I want you to know I will always love you!

You have said it darling! Me too. Nadhani watu watalishuhudia penzi letu siku ya kufungua shampeni kwa ajili ya kudumisha ndoa ya bwashee wangu na dada yangu ambaye ni wifi yako. Hahahaha! By the way, how are you sweetie? Did you had sweet dreams?
 
Naona umeamka cha kwanza nikutafuta hii thread lol mama utakuwa umeota hata usiku.
heheeee, niiote thread na wakati naweza kutumia muda huo kuota pesa? aaah nitake radhi fidel.
 
Geof Morning! how was ur 9t? usijibu hili swali!
 
heheeee, niiote thread na wakati naweza kutumia muda huo kuota pesa? aaah nitake radhi fidel.

Hehehe haya basi jipange jmosi nakutoa out tukatumie mahela nikakuonyeshe jinsi maduu wanavyo iba glass maeneo yetu yaleeeeee
 
with all due respect sir, on behalf all female human beings, we feel offendend by your words. Next time find better words from that mouth of yours to utter in the public concering this gender.
FYI Geof isnt a muslim to get a second wife if that head of yours think its the only solution. Good day.

Yaah! its true binamu. Anapaswa kujua katika hiyo Gender yuko mama yangu, mke wangu, binti yangu, mchumbangu ZD, wewe binamu yangu na mabinamu zangu wengine wote ambao HAKUNA KIUMBE CHOCHOTE DUNIANI mwenye HAKI ya kuwa offend. If this chap is a grown up creature, he MUST apologize.
 
seconded!
 
Hehehe haya basi jipange jmosi nakutoa out tukatumie mahela nikakuonyeshe jinsi maduu wanavyo iba glass maeneo yetu yaleeeeee
i am ready for the challenge dude! mmh lakini hao maduu wanaoiba glass i am very interested to see above all thingz
 
hahahaha!
ulikuwa usiku wa hekaheka!ai miin mikiki mikiki😀

Ulionywa usijibu lakini........... Bwashee bana. Nilikupaga hongera kwa kuoa kwetu. Dada zangu wanarekebishika kirahiiiiiiisi! Hahahaha! najaribu kuimajini hiyo mikiki mikiki na dada yangu!
 
i am ready for the challenge dude! mmh lakini hao maduu wanaoiba glass i am very interested to see above all thingz

Afu ukishawaona, utakuja kukana yale masentensi yako kwenye ile thread au utauchuna? Goodmorning binamu, kumbe hatijasalimiana!
 
Ulionywa usijibu lakini........... Bwashee bana. Nilikupaga hongera kwa kuoa kwetu. Dada zangu wanarekebishika kirahiiiiiiisi! Hahahaha! najaribu kuimajini hiyo mikiki mikiki na dada yangu!
utakufa presha bwa-shee!au umesahau kuwa ni dada yako?

bai dhe wei leo shemeji sitapenda tuizungumzie mechi ya jana kombe la kalingi sijui kati ya bwawa la maini na washika binduki!samahani kwa kutoka ofupoint😀
 
Mi kombe la mbuzi huwa siangaliagi. Kwani ilikuwaje? Kumbe niko off point, usijibu tuendelee na mada! Hahahahaha!
 
mada inaendelea!tupo pamoja!life is full of challanges.thank god mambo yanasonga
 
i am ready for the challenge dude! mmh lakini hao maduu wanaoiba glass i am very interested to see above all thingz

Haya nakupa big up mama na mm nataka kuolea uchagani kama wenzangu naona watoto wazuri sana huko.
 
Naona amani imetawala ndoa na yule HATER tumempotezea mbali.......
 
Haya nakupa big up mama na mm nataka kuolea uchagani kama wenzangu naona watoto wazuri sana huko.

We ni-PM tu, ntakuunganishia mpwa. Vipi yule aliyejifungua jana? Lakini kale katabia kako kakubadili badili dada zangu huwa hawanaga uvumilivu! Hahahaha hehehe!
 
Back
Top Bottom