I'm into you....

so huo mji katikati ya mwezi kazi ni moja tu coz hamna hela? hahahaha ,mji upi huo mae?
Monduli
Wenye hela wanajiachia sasa mie +my honey mpaka mwisho na mwezi sasa kwa nini NISIFAIDI RAHA/BURUDANI isiyolipiwa??????????
 
Kwa hii dedication lazima uonee huruma walio mbali na wao kwa wakati huu... Haya ngoja niendelee na video...
 
Kwa hii dedication lazima uonee huruma walio mbali na wao kwa wakati huu... Haya ngoja niendelee na video...

Salama Asha DII....pacha wako anapiga kelele wapi leo? Fox Brown!
 
Salama Asha DII....pacha wako anapiga kelele wapi leo? Fox Brown!


Dah! Rev hua najisahau kucheck subconscious mind nafanya wapi wakati huo...
Mistari ile ya kuanguka kwangu ulifanikiwa.. ulipokuta niko alter ID vipi nilikubali?? sikumbuki vizuri...lol
Na hivi umetaja Foxy Brown umenifanya nimkumbuke Luther Vandross... Dah!!!
 
naja mpenzi, kesho Bacha ameshanifanyia booking.....natanguliza shukrani kwa wema wako dia.

Nyamayao kama waenda kwa chauro leo sawa,
lakini waambie mashost wote kuwa jmosi na j2 upo busy mbaya...........
wasikutafute kabisa, hebu watuache tuondoane haya maupweke mwe.............
 


....na wewe weekend hii upo mpweke?
 
Mi nawakumbuka ABBA!!!!
 
....na wewe weekend hii upo mpweke?


Mpaka pale nilipotumiwa hii post... apo J Lo ndo mimi... Alehandro ndo Kipenzi...
Lil Wyne ni mpambe... Perfect imagination reader...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…