I'm looking for matured Man to be my husband

Ndio watoto hawa anaosema huyu dada, maneno , kejeli na tambo za kishamba . Tatizo sana.
Wnawakatisha tamaa wadada wengine, ila amini usiamini watu.wanakutana na wanaanzisha familia humuhumu, hawa wanafunzi tuwaache kwanza wakuo wakifika huko mbele watakuja na ID mpya
 
Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
wahi kwangu nafasi ni chache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…