Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
ππππππ[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji25]
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππ[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji25]
Jr[emoji769]
Kula jeuri yako, viburi na ujuaji ndo vinawaponza sasa zeeka hivyo hvyo, na wote utaowapata hapa watakupinga mkuyenge na kukuachaHabari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
Wabongo bwana!Kula jeuri yako, viburi na ujuaji ndo vinawaponza sasa zeeka hivyo hvyo, na wote utaowapata hapa watakupinga mkuyenge na kukuacha
Kila la kheri dear....wakija wengi wengine nawaomba ila uwaambie me nna miaka 32
Age doesn't represent maturityKupunguza usumbufu wa watoto ungeweka umri wa kuanzia
uko na watoto wangapi?Asante kwa positivity na challenges pia.Naomba wenye umri kuanzia miaka 35 na kuendela .Nawashukuru!
Mmedate na Wanaume waliwazidi miaka 5---10 ..Kupunguza usumbufu wa watoto ungeweka umri wa kuanzia
Hawa wavulana wa sasa ni shida, wewe umeambiwa uende PM, inakuwaje unaanza kujiachia hadharani ?, au ndio utoto wenyewe huo ?.Hizi nyuzi huwa sio za discussion
Zameni huko PM, hamjiamini??
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja. Ila nadhani hili ni suala na kisaikolojia, mimi binafsi siwezi kuvua nguo mbele ya mtu niliyemzidi hata kama ni mwezi mmoja. Naona aibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuuMmedate na Wanaume waliwazidi miaka 5---10 ..
Finally mmevunishwa mambo ya ajabu ajabu
.... Ifikie wakati sasa, Mmtizame mwanaume katika Upekee wa Alichokibeba kichwani kwake ,Busara zake na kuhekimika kwake.
In fact haingii akilin, wewe uwe na miaka 33.... Alafu utegemee kupata mwanaume wa miaka 35+ ambaye hajaoa ???
Na kama utampata, Usikurupuke kumpa Uchi,, Jiulize NI kwann mpaka hapo yuko pekeake???.
Katika Dunia yetu iliojawa na Visanga vya kila aina...
Dear, napenda kukuhimiza regardless ya Age yako, Bado bado bado UNA NAFASI YA KUCHAGUA NAKUA NAKILE KILICHOBORA, kikubwa nikuacha Akili nifanye kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
You spoke my mind!Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja. Ila nadhani hili ni suala na kisaikolojia, mimi binafsi siwezi kuvua nguo mbele ya mtu niliyemzidi hata kama ni mwezi mmoja. Naona aibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
You have spoken my mind.Kwan Khantwe, kipimo cha Utu uzima kinaanzia wapi ? Yaan mpaka uwe na MTU alokuzidi Umri ndio ujihisi upo kwa mahusiano???.
Noo noo . nadhan hii ni tamadani tuliyonayo waafrika , Ili mradi mapenzi yamewakolea, ilimradi mnafurahi, ili mradi kila mmoja ameridhika na Mwenzake then ni kuacha moyo upende kama vile hukuwahi kupenda huko nyuma.
Iyo saikolojia ,nadhan nisababu hajapatikana MTU wa kukuprove wrong , but one day utajishangaa kwann upo ktk mahaba thabiti namtu ulomzidi Umri.
Khantwe, Mwanaume anakupenda kwa dhati, mapenzi Yake ni dhahiri kwako, yuko really kwako, anakujali ,kukuheshimu nakukuthamin , MWANAUME anayehitaj kufanya familia nawee...
Kwann umuhukumu kwa Umri wake, ?? Kwann usifikirie juu ya kile ulichonacho wewe ambacho kimemvutia kwako nasio mabinti wadogo????.
Sent using Jamii Forums mobile app