Kwan Khantwe, kipimo cha Utu uzima kinaanzia wapi ? Yaan mpaka uwe na MTU alokuzidi Umri ndio ujihisi upo kwa mahusiano???.
Noo noo . nadhan hii ni tamadani tuliyonayo waafrika , Ili mradi mapenzi yamewakolea, ilimradi mnafurahi, ili mradi kila mmoja ameridhika na Mwenzake then ni kuacha moyo upende kama vile hukuwahi kupenda huko nyuma.
Iyo saikolojia ,nadhan nisababu hajapatikana MTU wa kukuprove wrong , but one day utajishangaa kwann upo ktk mahaba thabiti namtu ulomzidi Umri.
Khantwe, Mwanaume anakupenda kwa dhati, mapenzi Yake ni dhahiri kwako, yuko really kwako, anakujali ,kukuheshimu nakukuthamin , MWANAUME anayehitaj kufanya familia nawee...
Kwann umuhukumu kwa Umri wake, ?? Kwann usifikirie juu ya kile ulichonacho wewe ambacho kimemvutia kwako nasio mabinti wadogo????.
Sent using
Jamii Forums mobile app