EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Wnawakatisha tamaa wadada wengine, ila amini usiamini watu.wanakutana na wanaanzisha familia humuhumu, hawa wanafunzi tuwaache kwanza wakuo wakifika huko mbele watakuja na ID mpyaNdio watoto hawa anaosema huyu dada, maneno , kejeli na tambo za kishamba . Tatizo sana.