cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Nawaona!Kuna wengine wapo kwajili ya uvuragizi tu Kwakuwa umewaruhusu ujiandae kwa usumbufu tu.
Sema huna pesa na sio hatuna pesaSikukuu hii jamani ya Xmass ndio maana tunaogopa PM. Kama vipi Jan 15 hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
You need to grow you are still a kidMimi ni mwanaume mchafu sana nisiyependa kuoga na kupiga mswaki meno yatachakaa ila nina huba kweli kweli niPM tuyajenge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ukakae na uchafu wako! Mbona watu wanakuwa na mambo yao ajabu?Mimi ni mwanaume mchafu sana nisiyependa kuoga na kupiga mswaki meno yatachakaa ila nina huba kweli kweli niPM tuyajenge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimpata interview mwambie aseme zab 23 yote
akishindwa ujue shekhe huyo kaja,Piga X
Kila la kheri dear....wakija wengi wengine nawaomba ila uwaambie me nna miaka 32
Kupunguza usumbufu wa watoto ungeweka umri wa kuanzia