Kila la kheri dear....wakija wengi wengine nawaomba ila uwaambie me nna miaka 32
Nimefyatua lakini sio kivilee
Dah...yaani kigeza cha 6 kimekuwa mwiba mchungu kwangu....vipi kuhusu nguvu za uchumi na misuli imara....haihitajiki? [emoji2960]Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
Nini?
Uko serious?Kila la kheri dear....wakija wengi wengine nawaomba ila uwaambie me nna miaka 32
Carlos, nakubaliana na wewe kwa asilimia zote. Ila hoja hizi sio applicable kwangu...haiwezi kutokeaKwan Khantwe, kipimo cha Utu uzima kinaanzia wapi ? Yaan mpaka uwe na MTU alokuzidi Umri ndio ujihisi upo kwa mahusiano???.
Noo noo . nadhan hii ni tamadani tuliyonayo waafrika , Ili mradi mapenzi yamewakolea, ilimradi mnafurahi, ili mradi kila mmoja ameridhika na Mwenzake then ni kuacha moyo upende kama vile hukuwahi kupenda huko nyuma.
Iyo saikolojia ,nadhan nisababu hajapatikana MTU wa kukuprove wrong , but one day utajishangaa kwann upo ktk mahaba thabiti namtu ulomzidi Umri.
Khantwe, Mwanaume anakupenda kwa dhati, mapenzi Yake ni dhahiri kwako, yuko really kwako, anakujali ,kukuheshimu nakukuthamin , MWANAUME anayehitaj kufanya familia nawee...
Kwann umuhukumu kwa Umri wake, ?? Kwann usifikirie juu ya kile ulichonacho wewe ambacho kimemvutia kwako nasio mabinti wadogo????.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawewe... Lkn nikushauri kitu, mahali Fulani kuna MTU anakupenda sana na anakuhitaji kwaivo ulivo, anavutika sana nawewe kwa mwonekano. Nahuenda anafurahia siku moja kua na matured woman kama wewe kiumri nakiakili.Carlos, nakubaliana na wewe kwa asilimia zote. Ila hoja hizi sio applicable kwangu...haiwezi kutokea
Sent using Jamii Forums mobile app
kama uko na nia ya kweli njoo pmHabari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
Nj kama uko na nia ya kweli njoo pm
Asante kwa positivity na challenges pia.Naomba wenye umri kuanzia miaka 35 na kuendela .Nawashukuru!