I'm looking for matured Man to be my husband

I'm looking for matured Man to be my husband

Kula jeuri yako, viburi na ujuaji ndo vinawaponza sasa zeeka hivyo hvyo, na wote utaowapata hapa watakupinga mkuyenge na kukuacha
Kuna mfahamiano kati ya hawa wawili ?braza kaka acha mwenzako atafute wa kutulia nae miaka inaenda. Kila la kheri viola endelea dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 30 bado ni mdogo sana wasikukatishe tamaa utapata tu mwaya!

Lakini Kesha ukiomba kwa sala na kufunga Huku ukishika maagizo na kanuni za Mungu utampata mtu wa kufafana na wewe kama ni madhaifu yatakuwa yale madogo madogo ya kuchukuliana tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na tabia njema;

Wapende watu wote

Heshimu watu wote

Jifunze kumcha Mungu na kushika maagizo yake yote

Kuna na adabu kwa watu wote

Epuka majivuno na nyodo

Vaa mavazi yenye staha na heshima

Jifunze kuwa na moyo safi

Watendee watu wote mema kadiri iwezekanavyo

Epuka dharau

Jifunze kuwa mkweli na mwaminifu

Kuwa na kauli njema

Jifunze kustahmili watu

Kuwa na subra

Funga na kuomba

Epuka kulipa visasi

Jitahidi usimkosee Mungu na mwanadamu kwa makusudi .

Ukiyafanya hayo utampata wakufafana nawe.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Popote iwe kanisani, iwe kazini iwe kwenye jamii n.k

Halafu wanaume wanaojielewa ambao hawako tayari kutengwa na wanawake na kuingizwa mkenge hupenda kumjua tabia za binti kupitia watu ambao wanajua kwa kiasi fulani [emoji108][emoji108][emoji108]

Mwanaume mwerevu hashawishiki kwa ngono na meckups za mwanaume [emoji108][emoji108]

Ndugu zake mwanaume wanamwambia usije ukaoa mwiba ukatuletea kwenye familia na ukoo.

Tabia njema na ucha Mungu ni mtaji unaolipa sana !




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mengi ya kuongea na mabinti nikipata nafasi nitakuja kuanzisha mada nipatapo rikizo.

Mfano mimi nilikuja kugundua kuwa wanaume wengi wanapenda apate mwanamke asiye na makuu.

Binti simpooo

Ukiwa simple kwenye ubinti italeta tafsiri kuwa hutaweza kushawishika kuchepuka na kufanya tabia mbaya pale fedha ya familia inapokuwa haikidhi haja zako binafsi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko desperate af unachagua chagua...umeshayumba tayar
Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
 
Back
Top Bottom