genltesoul
Member
- Dec 27, 2012
- 30
- 8
Ha! ha! ha! .... upo hapo genltesoulAfu usifanye utani. Yatatoka yote. Nenda hospitali na ufuate ushauri utakaopewa. Na usile vitu vitamu, hakikisha unaswaki kila ukimaliza kula and floss walau.kila wikiend (kuna nyuzi maalum za kutolea uchafu kwenye meno. Zipo supermarket)