i'm only at my early 30s' nimeng'oa meno yote......

i'm only at my early 30s' nimeng'oa meno yote......

genltesoul

Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
30
Reaction score
8
naanza kupata wasiwasi wa kuwa kibogoyo kijana .....ni katika kipindi cha miezi sita tu ni meng'oa meno manne magego..
naomba munisaidie nifanyeje naona nimeshayafikia ya sebuleni sasa....meno yangu yanaoza mawilimawili yanayofuatana
yaani kwenye mpaka wa jino moja na lingine......naombeni mssada jamani
 
Afu usifanye utani. Yatatoka yote. Nenda hospitali na ufuate ushauri utakaopewa. Na usile vitu vitamu, hakikisha unaswaki kila ukimaliza kula and floss walau.kila wikiend (kuna nyuzi maalum za kutolea uchafu kwenye meno. Zipo supermarket)
 
Ha! ha! ha! .... upo hapo genltesoul
 
ungetuwekea na picha ingependeza zaidi.natania ila kuwa kibogoyo jamani ni kitu kibaya,ukicheka na wenzako wanacheka sio kama umewachekesha,wanachekea mengine.jaribu kusukutua kwa kutumia mouth wash kila baada ya kula,na kabla ya kulala piga mswaki.ikiwezekana piga mswaki mara 3 kwa siku.vile vile kila baada ya miezi 6 kasafishe meno hospitali.mimi kila miezi 6 nafanya hivyo.jaribu kutokunywa fizzy drinks,pipi,na vitu vya sukari.meno yatakuwa imara.
 
Back
Top Bottom