genltesoul
Member
- Dec 27, 2012
- 30
- 8
naanza kupata wasiwasi wa kuwa kibogoyo kijana .....ni katika kipindi cha miezi sita tu ni meng'oa meno manne magego..
naomba munisaidie nifanyeje naona nimeshayafikia ya sebuleni sasa....meno yangu yanaoza mawilimawili yanayofuatana
yaani kwenye mpaka wa jino moja na lingine......naombeni mssada jamani