I'm still waiting for her message 😔

😆😆😆
Kudate na watu kama hawa raha kweli, ukiamka unakuta zile message za you’re my happiness sijui nini nini huko, message aya sita afu ndio good morning my love😂😂😂😂
Wanakuwaga na mapenzi ya kitamthilia hawa ukimsimulia tatizo lako analia kama kafiwa😂😂😂 tena analia kwa kinglesa,,
 
Nilichogundua asilimia kubwa wana comment kuhusu ku move on though na wao walishapitia hali kama hii na kuna wengine wanapitia hali kama hii pia ila wanajifanya kauzu😂. Ku move on ni kitu kigumu sana, ila jitahidi utoke. Pole sana.
 
Nieleweni wanaume.
Kuna wanawake aina kuu 2.

1. Anakuja kwako akitegemea kurina asali na mwanzoni atakuonyesha mahaba sana.

Akigundua huna hiyo asali..pesa anakata mguu.

2. Huyu anataka mtu sahihi, mwanzoni atakuzingua akikupima kwa vigezo vyake.
Akigundua kuwa wewe u mtu sahihi kwake..yeye ndio kila muda atakuwa anakutafuta...

Mwanaume unapaswa umtafute mwanamke mwanzoni, jenga misingi imara.

Ukimaliza inakuja zamu yake yeye kukutafuta kila mara..honey, baby, mume wangu.

Kama haya hayapo, kimbilia pori jingine
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
Kudate na watu kama hawa raha kweli, ukiamka unakuta zile message za you’re my happiness sijui nini nini huko, message aya sita afu ndio good morning my love[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787] seems una- experiences za ku'date na watoto wa bus za njano!
 
Nilichogundua asilimia kubwa wana comment kuhusu ku move on though na wao walishapitia hali kama hii na kuna wengine wanapitia hali kama hii pia ila wanajifanya kauzu😂. Ku move on ni kitu kigumu sana, ila jitahidi utoke. Pole sana.
omba yasikukute maana akili inataka ila moyo hautaki, hiyo vita yake acha kabisa.
 
You sound childish, right from your writing style... Mtu wa late 20's hawezi risk ku-date na mtoto, mwenzio anatafuta ndoa siyo mitoko...
Kama hutaelewa na hii basi hutaelewa kabisa..
You are right buddy, she has a bridegroom right next to her it's just that she doesn't sees it as I do,sad😥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…