I'm still waiting for her message ๐Ÿ˜”

Kumbe ndio iko hivi?
 
Huenda shida yako ni hiyo Ingilixhi..

Mdada wa watu wala haelewi ujumbe wako, ili asiaibike anaamua kukaa kimya. Akipokea ukiongea Kiingereza chako anakuuliza umexema? Ukirudia, anakukacha. 'xubiri nina kazi kidogo. 2tawaxiliana xaxa bdae'.

Anyway, endelea kusubiri ujumbe wake Mkuu.
 
Wanakuwaga na mapenzi ya kitamthilia hawa ukimsimulia tatizo lako analia kama kafiwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tena analia kwa kinglesa,,
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Ndio wazuri hao ila sio kila muda, mapenzi yanahitaji heka heka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sasa unakuta amepoa unakua huna ata amsha amsha nae
 
[emoji1787][emoji1787] seems una- experiences za ku'date na watoto wa bus za njano!
Enzi hizo๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Paragraph ndefu mwezi mpya nini, ukilala ukiamka usiku unakuta kakwambia I canโ€™t live without you ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Vurugu vuruguuuu maana ntakiwa niwe na Google translator kila muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ