mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
nitasema tu siku moja najikusanyaSema, upone
jichanganye usitafute hela ujione simba kumbe swala. Hayana umri lakini kuna umri ni mzuri kufanya maamuziumenigusa jamani
sijui hata nisemeje😂
😂 usione aibu.nitasema tu siku moja najikusanya
kwa sasa aibu imenilemea😂
tunakatana moyo sio😂jichanganye usitafute hela ujione simba kumbe swala. Hayana umri lakini kuna umri ni mzuri kufanya maamuzi
ipo siku mama usijali....😂 usione aibu.
😆😆😆😂😂Hii ni fedheha walahi ndo maana huwa sitaki kukaza mshipa wa kushauri mtu aliyezama penzini
😂😂😂😂Huku Junia yupo kuililia pisi ya muhuni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hapana ila hayamkuti mbuzitunakatana moyo sio😂
[emoji16]Tafta mafuta ya nazi halafu piga punyeto mwanangu
Maisha mafupi haya enjoy
Mwanetu hawezi teswa na mapenzi na sisi tupo[emoji16]
Tushaumbuka ngoja nikanywe maji mengi nifanye hata kazi ya kukojoaaaaaa😆😆😆
Naona katoweka kabisa, hapa tunatwanga maji kwenye kinu
I’m out foshuaaaaaa
😂😂😂hapana ila hayamkuti mbuzi
au nasema uongo?
Hapana, kabisa.au nasema uongo?
ndio hvyo yanatukuta sisi binadamuHapana, kabisa.
Junia haoni😂😂😂Usisumbuliwe na mtu asiyekupa thamani yako.
First ignore her, see her reaction...
Then walk away...
Kwani wewe huoni kwamba ana mwamba mwingine huko?