Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
AiseeMwanetu hawezi teswa na mapenzi na sisi tupo
Sijui hata kama amekula leo
Ngoja ninyamaze🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeMwanetu hawezi teswa na mapenzi na sisi tupo
Sijui hata kama amekula leo
Heri kakalale😆😆😆
Naona katoweka kabisa, hapa tunatwanga maji kwenye kinu
I’m out foshuaaaaaa
Hapana hawezi teswa na mapenzi hata wewe ukiteswa na mapenzi huko nitafteAisee
Ngoja ninyamaze[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ongea mkuu fungukaAisee
Ngoja ninyamaze[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ongea mkuu funguka
Hapa ndo muhimu 😀😀Tuanzie hapa au siyo😆
Mimi nateswa BebiHapana hawezi teswa na mapenzi hata wewe ukiteswa na mapenzi huko nitafte
Pole sana shida Ni nini haswaMimi nateswa Bebi
Nisaidie
Umeanza kutoa siri sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnamshangaa anateswa na mapenzi
Ukute hata nyie yanawatesa,Ni vile tu hamsemi.
HaaUmeanza kutoa siri sasa
MapenziPole sana shida Ni nini haswa
Kuna mtu ambaye mapenzi hayajawahi muumizaHaa
Kwani hadi wewe unateswa?
Hakupi show nzuri au shida nini mamaMapenzi
tui laminate hii comment, tuweke kwenye notice board au kwenye yale mabango ya mtangazo kila mji, kila mkoa, kila kijiji na tuyaweke kwa herufi kubwa tukiyabold hata asioona mbali aone, hutoi hela unalia lia kizungu subiri uone picha linavyokwendaMpe hela, mapenzi ya kihindi sisi Waswahili hatuyawezi.
Mapenzi tu yanatesa mioyoHakupi show nzuri au shida nini mama