I'm still waiting for her message 😔

I'm still waiting for her message 😔

Kwa umri wangu Huwa naaamshwa na sms ya madeni ndo maana nauliza umri wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Mimi Auntie
Naamshwa na matatizo[emoji23][emoji23]


Huyu Junia atakuwa kwenye 20
 
Kubali ukweli unaoukataa, kuna muda tunajifosi kuamini kitu ambacho hakipo ili tupate ahueni ,ila kiuhalisia ni kujichimbia shimo ambalo itakua ngumu kutoka .
Jaribu kuongeanae ,it's either black or white achana na grey zone
 
🤠
 

Attachments

  • Screenshot_20221110-134112~2.jpg
    Screenshot_20221110-134112~2.jpg
    37.4 KB · Views: 2
You haven’t said hio misunderstanding ilikuwaje….

Ulicheat? Mligombana au??

For her to be cold all of a suddenly ni sababu anakuone wewe ndio mkosaji/guilty kwenye hio misunderstanding….

Kuto apologise au kukaa Kimya kwako amekuona uko arrogant usiejali hisia zake, ndio maana ame lose interest kwako…

If she still text you there’s hope

Now clear misunderstanding with her by opening up, talk/take her to the very moment you had misunderstanding and tell her you are sorry!?, Mwambie unahitaji muanze upya baada ya kusameheana, and tell her your expectations that you want you guys to be like in old times, texting each other etc
Thanks for your heart warming reply I did as you said and it's working.
I wish you all the best in your life endeavor. I really appreciate it
 
tui laminate hii comment, tuweke kwenye notice board au kwenye yale mabango ya mtangazo kila mji, kila mkoa, kila kijiji na tuyaweke kwa herufi kubwa tukiyabold hata asioona mbali aone, hutoi hela unalia lia kizungu subiri uone picha linavyokwenda
We have miscellaneous relationship, whatever she asks she get it on time like no any.
 
Penzi linaponeshwa na Penzi , and kama una mtonyo ! My guy let me take u around the world upate vitu amazing na kumsahau huyo binti! seems your lonely and depressed.... Man huna maactivity mengi ndo maana u acting sorry for yourself poor soul.... Nways i gatchuuu nitakupa mbinu usiteseke some good Quality women to make u happy my guy.
Thanks for the offer Boss 🙏
 
Back
Top Bottom