Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere


A cha ujinga...mwizi ni mwizi tu na zikitimia 40 atajitetea kwa lolote ila jibu linabakia kuwa anastahili hukumu inayostahili..siyo kukaa, siyo cha exim au lolote...feki ni feki na kufoji haisimami muda...ukweli utakuja punde nawe utajificha USO...ccm ni majitu maovu hata kwa wazao na wajukuu wao wenyewe sembuse kwa RAIA wa kawaida wanaodai haki yao na Tanganyika yao..
The days are numbered for ccm to sustain the coming 'magnitude'...they would better confess and seek the public sympathy rather than their arrogance and selfish and idiotic mindset.
 

Ulikuwepo kabla ya 1964? Kama ndivyo kumbe wewe ni bibi yangu kabisa. Samahani kwa zile qoutes,ila na wewe upunguze uchokozi.
 
Hapo kwenye red MaCCM ndio uwanja wao wa nyumbani uhakika wa kushinda ni 99.9%
 
watafoji sana kakobe kashasema. hili ndo kifo cha sisiyem
 
kuna tetesi hati halisi inaonesha muungano unaisha mwaka72!
 
watafoji sana kakobe kashasema. hili ndo kifo cha sisiyem

lyk yako!
niliwaambia ngereja aliambiwa akafikiri utani. ila sasa atamheshimu mtumishi wa mungu alie hai.
ccm wanazan huu umma wa sasa hivi ni umma wa 70's.
wakimaliza 2 katiba yao ya chama kesho 2naanza kudai katba ya wananchi.
 
Ukitaka kuijua sahihi ya kweli ya mwalimv J K NYERERE tafuta mkataba wa muungano ndo ilipo
 
Tanzania kila kitu ni kugushi tu,matokeo form 4 feki ARVs feki,naibu waziri wa fedha anatumia jina feki,kifo cha barali kilikuwa feki,rasimu feki,muungano feki hadi sahihi ya nyerere ni feeki!!

Inawezekana hata watanzania bara ni feki na sababu kubwa ni kwamba Tanzania nayo ni feki. Nchi halisi ni Tanganyika.
 
Kula za WAZI ila HATI YA MUUNGANO YA SIRI
 
Nilikuwepo way before 1964. For your information, nipo toka Tanganyika haijapata Uhuru.

Shikamoo Bibi FF!

Kumbe Dr. ni mzee mwenzako sasa kwa nini huwa unamshambulia na kumdhalilisha bila sababu? Unatufundisha nini wajukuu?
 
mimi ninaona hamna kufogi hapo, kama uamini njoo arusha nikutengenezee zote mbili unazoziona hapo kama zilivyo, nyie mnazani mtu anayetaka kufogi signature wataachana mbali hivyo kama unavyoona??? mimi ninaona signature iliyopigwa mwaka 1964 si lazima iwe exactly na sahihi ya mwaka 1994.
 
Hizi ni sahihi Mbili tofauti. Sahihi ni Kama logo haitakiwi itofautiane hata Kama kikiongezeka Au kupungua kitu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…