mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Hata me najiuliza sasa sign inafaida gan kwa sasa kwa mtu aliyefariki? mbona naona ni ujinga tu......
Watawaita kina Shivji, kama wataalamu te he he!Hapo kwenye red MaCCM ndio uwanja wao wa nyumbani uhakika wa kushinda ni 99.9%
utahanaika kuitafuta sahihi iliyo sawa wakati walioanzisha hoja wanajua fika kwamba hati haipo tanzania. HIYO NDIYO HOJA KUU.
Inasikitisha kuona tunajadili upuuzi... sahh zinabadilika kutegemea na nyakati pamoja na mikao.
Ukiandika umekaa itatua tofaut na ya kusimama.
Sahih ya mwaka jana kuna uwezekano isiwe sawa na ya mwaka huu.
Huo mkasa umenikuta bank ya exim juzi bank teller anazngua kunipa hela kisa sahihi zimetofautiana.
Mkono si sawa na photocopy machine kiasi kwamba utende sawa kila wakati.
Msiwe mnajitoa ufahamu kutetea ujinga usiokuwa na mashiko wala tija kwa taifa.
Nyie ndo mnachangia hii nchi ionekane imejaza wapumbavu na wajinga lundo.
Mkuu FaizaFoxy hebu tuorodheshee hata moja la kimaendeleo kwa watu (human development) ili ku justify andiko lako hapa!!!
mifaidha namchukia! namchukia nashindwa kusema we nyerere kajenga maviwanda vyuo mabarabara. kampiga nduli! shit sito sema yote yeye anamsifia anaye.......kabinti kakiarabu Kule iringa. tena kwakuhongwa naASA... nakuchukia faidha nakuchukia! haunabusara kwa wajukuzo. mi nakuchukia sana
weeee mi nahofia kulimbokwa bado motto mdogo na niliambiwa nisisemeYaaani mkuu sema usiogope!!! Report ya Maendeleo ilitoka jana or juzi na katika 50 poorest countries Tanzania ni no. 47!!! Tumeshawaambia waje huku wasome, tena naomba tena niwanukuu Msalani nimemsahau na Nape Nnauye (Napelepele Nnauye -la kughushi).
Soma vizuri maoni yangu. NImesema kwamba hayo ni majina tu wanachotakiwa kuangalia ni uzito wa yaliyomo kama maudhui yake ni sahihi basi waendelee na majadiliano. Kuandika kwa mfano "Jakaya M. Kikwete" huwezi kuita kuwa ndiyo sahihi ya JKMkuu kweli wewe huoni, herufi K. Ni printed sio handwriting ya Julius. Zote ni fake. Werema na masoud walete hati halisi ya muungano sbb wao ndo wanazitunza.
Hoja ni nini hapa au unataka kupata au kujua nii hasa we mleta mada.
weeee mi nahofia kulimbokwa bado motto mdogo na niliambiwa nisiseme
Sawa mkuu, watapambana mwisho watachoka!!! walipambana na CDM mara ughaidi mara kesi za kubambikiza!!! Sasa hivi wameanza kugeukana wao kwa wao tu maana muda unakaribia!!! Kwa mantiki hii watang'oa watu macho, kucha,meno n.k lakini iko siku watashindwa maana watakaonyanyuka kudai haki watakuwa ni wengi sana. Tunaogopa kusema leo ila kesho na kesho kutwa watu watasema!!!
Yes nitawapatia mpaka dole gumbaJee utatupatia tukikueleza?
Ndugu utakuwa una macho feki kama hujaweza kumuona "FEKI" unayesubiri kuletewa.Mwishoni tutaletewa rais feki
Zote zake hizo, ikitegemea na mood na kama alisha choma au bado.
Ipi ni saini yake ya kweli ???