Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Kwa hakika kabisa sahihi hizi mbili ni tofauti. Lakini kama binadamu wenye utashi na kufikiri yapaswa kujiuliza nmaswali kadhaa.

1. Sahihi hizi mbili (ya uwongo na ya kweli) zinatoka kwenye document gani?

2. Saini ya juu ukuangalia ni saini iliyoandikwa kwenye kipande cha karatasi, kikabandikwa juu ya eneo la kuweka sasa, ikapigwa photicopy (ndio maana chini kivuri cha mstari ilipoanzia karatasi mpaka kuishia kimeonekana) aliyefanya hivi alifanya kwa malengo gani?

3. Madai ya wajumbe kudai hati itolewe, hati ikaletwa tayari mtu akawa na saini ya pili mfukoni na kuitoa kwa ulinganisho inatia shaka, alijuajeinayokuja itakua feki?

4. Kwa wanaojua maudhui ya mkataba wa awal, je kunamabadiliko?

5. Tunadhani ni kwa nini kiongozi mmoja aliye hai na inadaiwa saini yake ni fake, nae kahojiwa akakanusha kuwa si fake sahihi ni yake, lakini bado tunang'ang'ana ni fake?
 
Hivi nini maana ya sahihi? Mimi nikiangalia naona ni majina mawili, la kwanza na la mwisho lile la katikati kaliandika kwa ufupi yaani kwa kutumia herufi ya kwanza ya jina Kambarage hivyo ukiangalia inasomeka "Julius K. Nyerere" Sasa majina hayo ndiyo sahihi? Kwakuwa tarehe za kuandikwa ni tofauti huenda tofauti ndogo zisikosekane. Katika hilo mimi nafikiri la muhimu ni kuangalia content kama ni valid badala ya kudeal na sahihi tu

No wonder your not an accountant or a lawyer other wise you could know the alteration of signature what it means!
 
Kzi kweli kweli. Wamefoji ili Tanganyika iendelee kuvaa koti la Zanzibar.
 
Mpendwa kwako si mpendwa kwa wengine. Kama vile ilivyo kwa Kikwete, mpendwa wetu lakini wengine humu wana husda nae za wazi wazi tena ukilinganisha kwa miaka 24 ya Nyerere madarakani hajafanya hata 10% ya aliyoyafanya Kikwete kwa Tanzania kwa miaka 8 tu.

Ila ami nawe!

Ni vigezo gani huvitumia kuwalinganisha Mpendwa wetu wa dhati Baba wa na Muasisi wa Taifa letu na Mpendwa Rais wetu wa sasa?
 
Mpendwa kwako si mpendwa kwa wengine. Kama vile ilivyo kwa Kikwete, mpendwa wetu lakini wengine humu wana husda nae za wazi wazi tena ukilinganisha kwa miaka 24 ya Nyerere madarakani hajafanya hata 10% ya aliyoyafanya Kikwete kwa Tanzania kwa miaka 8 tu.

We hii siyo bure inabidi ukapimwe mirembe.
 
Mpendwa kwako si mpendwa kwa wengine. Kama vile ilivyo kwa Kikwete, mpendwa wetu lakini wengine humu wana husda nae za wazi wazi tena ukilinganisha kwa miaka 24 ya Nyerere madarakani hajafanya hata 10% ya aliyoyafanya Kikwete kwa Tanzania kwa miaka 8 tu.

Unachekesha sana wewe! Unapomlinganisha Nyerere na Kikwete!. Mahaba yamekufanya hata kufikiri haufikiri tena wakati wa kuandika mabandiko yako kuhusu maendeleo wakati wa Nyerere na Kikwete!
 
Unachekesha sana wewe! Unapomlinganisha Nyerere na Kikwete!. Mahaba yamekufanya hata kufikiri haufikiri tena wakati wa kuandika mabandiko yako kuhusu maendeleo wakati wa Nyerere na Kikwete!

Nitajie maendeleo ya Tanzzania wakati wa Nyerere na mimi ntayaweka ya wakati wa Kikwete, tuone nani zaidi.
 
Du! Walikuwa wamelewa Balimi nini! Sina hakika na macho yao. kama macho yao ni mazima basi kichwani hakuna kitu. Sahihi zinaonekana zimefojiwa hata mtoto mdogo wa miaka 5 hawezi kudanganywa
 
Kwa hakika kabisa sahihi hizi mbili ni tofauti. Lakini kama binadamu wenye utashi na kufikiri yapaswa kujiuliza nmaswali kadhaa.

1. Sahihi hizi mbili (ya uwongo na ya kweli) zinatoka kwenye document gani?

2. Saini ya juu ukuangalia ni saini iliyoandikwa kwenye kipande cha karatasi, kikabandikwa juu ya eneo la kuweka sasa, ikapigwa photicopy (ndio maana chini kivuri cha mstari ilipoanzia karatasi mpaka kuishia kimeonekana) aliyefanya hivi alifanya kwa malengo gani?

3. Madai ya wajumbe kudai hati itolewe, hati ikaletwa tayari mtu akawa na saini ya pili mfukoni na kuitoa kwa ulinganisho inatia shaka, alijuajeinayokuja itakua feki?

4. Kwa wanaojua maudhui ya mkataba wa awal, je kunamabadiliko?

5. Tunadhani ni kwa nini kiongozi mmoja aliye hai na inadaiwa saini yake ni fake, nae kahojiwa akakanusha kuwa si fake sahihi ni yake, lakini bado tunang'ang'ana ni fake?
 
Hivi ninyi WADANGANYIKA kufukua yote hayo,ni hivyo visiwa viwili!? Huku kwetu bado hatujakumaliza tunataka malumbano kwanini lakini? Hamuoni hata MALAWI watapata point kuwa wadanganyika ni "zulumati"!!shauri yake aliyelianzisha swala hili maana linaanza kumshinda!
 
ndio watu wajifunze kutunza kumbukumbu sasa tayari wazee wapo mbele ya haki sijui hizo documents ziko wapi
 
......."Ili tuimartishe Muungano (wa Tanganyika na Zanzibar) ni lazima Zanzibar ipoteze mamlaka yake na kuwa chini ya Tanzania. Kama haiwezedkani, basi tuache tu, kwa sababu si lazima na sioni umhimu wa kuwa na Muungano kama upande mmoja hawataki kabisa kuwa na Muungano".....
Source: Kobello (8 Octoba 2012)......
Napita.....
 
hiyo sahihi pia ni jina lake,tofauti ya jina na sahihi ni nn???me naona yote ni majina yake tu!!!
 
hakuna shida kwani majina matatu ya mwalimu yanaonekana,tatizo nn!!!???km shida ni hati ya muungano nimuhimu kurejea katika hati ya muungano na ipi pale mahakama kuu,na hata zanzibar wanayo,sahihi si kitu kwani tumeona watu wanasahihi hadi za ikulu na mihuri yake,mambo ya muungano yalikuwa kumi na moja yakaongezwa kwa nyakati tofauti yakawa 22(multiple).
 
Unajuwa kuwa ukoo wa Nyerere wana tatizo la akili, mpaka wanawe wengine ni machizi kabisa.

FaizaFoxy, wadau wa JF wanakufahamu kuwa wewe ni anti-nyerere kwa 'sababu zako fulani fulani'. Jadili mada, weka itikadi na chuki pembeni. Wote wamekuwa viongozi wa hili taifa kwa vipindi tofauti. Wote wamekuwa na mchango wao kwenye ustawi wa jamii yetu. Uimara wa taifa letu ni kutokana na viongozi waliotangulia na waliopo pamoja na madhaifu yao mbalimbali ya kibinadamu.
 
Back
Top Bottom