Yes nitawapatia mpaka dole gumba
Tutapata kujuwa kilicho kweli na kilicho cha kughushi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes nitawapatia mpaka dole gumba
Hivi nini maana ya sahihi? Mimi nikiangalia naona ni majina mawili, la kwanza na la mwisho lile la katikati kaliandika kwa ufupi yaani kwa kutumia herufi ya kwanza ya jina Kambarage hivyo ukiangalia inasomeka "Julius K. Nyerere" Sasa majina hayo ndiyo sahihi? Kwakuwa tarehe za kuandikwa ni tofauti huenda tofauti ndogo zisikosekane. Katika hilo mimi nafikiri la muhimu ni kuangalia content kama ni valid badala ya kudeal na sahihi tu
yaani wewe ni kipofu?huoni ka sahihi moja imeigizwa?
Mpendwa kwako si mpendwa kwa wengine. Kama vile ilivyo kwa Kikwete, mpendwa wetu lakini wengine humu wana husda nae za wazi wazi tena ukilinganisha kwa miaka 24 ya Nyerere madarakani hajafanya hata 10% ya aliyoyafanya Kikwete kwa Tanzania kwa miaka 8 tu.

Unachekesha sana wewe! Unapomlinganisha Nyerere na Kikwete!. Mahaba yamekufanya hata kufikiri haufikiri tena wakati wa kuandika mabandiko yako kuhusu maendeleo wakati wa Nyerere na Kikwete!
We hii siyo bure inabidi ukapimwe mirembe.
Unajuwa kuwa ukoo wa Nyerere wana tatizo la akili, mpaka wanawe wengine ni machizi kabisa.