makaj
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 318
- 374
Ni ukweli usiopingika kwamba humu ndani watu wanatumia majina fake, avator fake , na wengine hujiunga mara mbili mbili kama member mpya. Lakini pamoja na hayo, ukiwa mtaalamu wa lugha ya maandishi naweza tumia mwandiko wa mtu kugundua tone yake, mood yake, au seriousness yake ............!!!!!
Sasa Kwa kuangalia avatar, ID, michango mbali mbali au post za mtu humu ndani, watu wanajaribu kuwaza jinsi mtu alivyo kiuhalisia kabisa Kwa kutumia factors tajwa...!
Ndugu wana JF zoezi letu, mchague member yeyoye kulingana utupe uhalisia wake alivyo livyo Kwa kutumia ID, avatar, posts, michango, yake n.k....!!
NB ; kuna members mwenyew najaribu kuwavutia picha walivo nataman mpaka kuwa PM hasa ke, lkn hata men wengin nikisoma post yake najuaga huy jamaa itakuwa kauzu kinoma...... karibun tutiririke ......!!!