Imagine hii nchi bila Yanga ingekuwaje?

Je ungetufanya nini kama hizo kodi tungeziweka mfukoni[emoji23]
Hoja ilikuwa CCM wamejenga viwanja , majibu viwanja vimejengwa na wananchi kupitia Kodi zao . Ilichofanya CCM Kama inavyofanya maeneo mengine ni kufanya uporaji.
Viwanja vingerudishwa serikalini vikamilikiwa na manispaa.
 
CCM imejenga viwanja kama mkapa national stadium......uhuru ......ccm kirumba .....kule Tanga unajengwa......na uwanja wa amani uliozinduliwa juzi

Kwa taarifa zaidi mcheki mtaalamu Lucas mwashambwa
 
Mipira ya hovyo hapa bongo ndyo inafanya watanzania wengi hatujui haki zetu za msingi kama raia
Haki Gani unahitaji Mzee......au naww unahitaji zile haki za 50/50
 
Kama sio Yanga basi Simba isingekuwepo, tukumbuke Simba imetokana na Yanga.
 
Umemalizaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…