Imagine hii nchi bila Yanga ingekuwaje?

Imagine hii nchi bila Yanga ingekuwaje?

Je ungetufanya nini kama hizo kodi tungeziweka mfukoni[emoji23]
Hoja ilikuwa CCM wamejenga viwanja , majibu viwanja vimejengwa na wananchi kupitia Kodi zao . Ilichofanya CCM Kama inavyofanya maeneo mengine ni kufanya uporaji.
Viwanja vingerudishwa serikalini vikamilikiwa na manispaa.
 
Hoja ilikuwa CCM wamejenga viwanja , majibu viwanja vimejengwa na wananchi kupitia Kodi zao . Ilichofanya CCM Kama inavyofanya maeneo mengine ni kufanya uporaji.
Viwanja vingerudishwa serikalini vikamilikiwa na manispaa.
CCM imejenga viwanja kama mkapa national stadium......uhuru ......ccm kirumba .....kule Tanga unajengwa......na uwanja wa amani uliozinduliwa juzi

Kwa taarifa zaidi mcheki mtaalamu Lucas mwashambwa
 
Mipira ya hovyo hapa bongo ndyo inafanya watanzania wengi hatujui haki zetu za msingi kama raia
Haki Gani unahitaji Mzee......au naww unahitaji zile haki za 50/50
 
Kama sio Yanga basi Simba isingekuwepo, tukumbuke Simba imetokana na Yanga.
 
Watu wa utopolo mnakuwaga na illusion sana.
Kuna dunia yenu mkikutatana mnafikiri basi watu wa Simba wanateseeka!
Wale wanaosema wanateseka ni watu wanaotaka kufurahisha hadhara tu.

Binafsi ningeumia sana iwapo zingekuwa goli 2 au zaidi 3.Maana hapo nisingewaza vinginevyo.
Lakini 5! Kwa timu iliyomgomea Al Ahly,unashindwa nini kuamini kulikuwa na hujuma ya wazi kabisa?Basi hilo nikishajua umeshinda kwa magumashi,hiyo hainipi hata presha.
Ishini katika dunia yenu ya kufikirika
Umemalizaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom