rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Hoja ilikuwa CCM wamejenga viwanja , majibu viwanja vimejengwa na wananchi kupitia Kodi zao . Ilichofanya CCM Kama inavyofanya maeneo mengine ni kufanya uporaji.Je ungetufanya nini kama hizo kodi tungeziweka mfukoni[emoji23]
Viwanja vingerudishwa serikalini vikamilikiwa na manispaa.