Imagine hii nchi bila Yanga ingekuwaje?

Imagine hii nchi bila Yanga ingekuwaje?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama mchambuzi wiki hii nimewaza sana kuhusu suala hili bila Yanga Tanzania ingekuwaje?...

Yanga wanaiweka busy nchi Kwa matukio yao ambayo wanayafanya mfano ...vile vichapo vya 5G [emoji113]...viliifanya nchi kuwa kwenye trending nzito ...Hadi taarifa zilimfikia rais wa FIFA
Soup day, kutinga group stages, pia hivi juzi tumeona mwenyekiti wa vilabu vya Africa Eng hersi akialikwa na raisi wa heshima wa PSG....Hadi akapiga picha na kina klyan magoli mbape
NB: Binafsi naona bila Yanga ...nchi ingepoa sana ( ingechacha)
 
Watu wa utopolo mnakuwaga na illusion sana.
Kuna dunia yenu mkikutatana mnafikiri basi watu wa Simba wanateseeka!
Wale wanaosema wanateseka ni watu wanaotaka kufurahisha hadhara tu.

Binafsi ningeumia sana iwapo zingekuwa goli 2 au zaidi 3.Maana hapo nisingewaza vinginevyo.
Lakini 5! Kwa timu iliyomgomea Al Ahly,unashindwa nini kuamini kulikuwa na hujuma ya wazi kabisa?Basi hilo nikishajua umeshinda kwa magumashi,hiyo hainipi hata presha.
Ishini katika dunia yenu ya kufikirika
 
Mkuu Sasa hizo hujuma wanyanga zanawahusu vp[emoji23]
 
Maana yake hata timu kama simba isingekuwepo! Si unafahamu hiyo timu inayoitwa simba imetoka kwenye ubavu wa Yanga?
So mkuu una maanisha Yanga walitengeneza kivuli Chao ( puppet ambacho ni simba)??
 
Back
Top Bottom