Ntemi_Ntale
Member
- Aug 23, 2026
- 20
- 16
Kila mwaka...
Maelfu ya wanafunzi wanahitimu.
Wote wana...
umemaliza ? Kama Umesema Ndiyo...lets assume
Kama kila CV inafanana...
Wewe utajitofautisha vipi? ...(Hauna Jibu si ndio)
_______
Kitu cha kwanza recruiter anaona Ni nini?
Labda changamoto kubwa Leo
Sio kupata degree.
Ni kuwa wa kipekee.
________
Wewe unafikiri nini?
Uzoefu wako unasema nini?
Share mawazo yako kwenye comment!
Maelfu ya wanafunzi wanahitimu.
Wote wana...
Degree
CV
Coursework inayofanana
______
Sasa waza...Wewe Ni recruiter______
umemaliza ? Kama Umesema Ndiyo...lets assume
Una CV 500 mezani
Una dakika 2 tu kuchuja
Nani ataonekana?
________Kama kila CV inafanana...
Wewe utajitofautisha vipi? ...(Hauna Jibu si ndio)
_______
Kitu cha kwanza recruiter anaona Ni nini?
Alama zako?
Uzoefu wako?
Project zako?
Mawasiliano yako?
________Labda changamoto kubwa Leo
Sio kupata degree.
Ni kuwa wa kipekee.
________
Wewe unafikiri nini?
Uzoefu wako unasema nini?
Share mawazo yako kwenye comment!