Ntemi_Ntale
Member
- Aug 23, 2026
- 20
- 16
Nadhani anamaanisha muundo wale, yanabadilika majina tu ya sehemu tu ila mambo ni yaleyale mpaka uzoefu (kama alivyodai ni kwa wahitimu).CV inafananaje naya mtu mwingine. Ni jambo ambalo haliwezekani.
Hapo sawaNadhani anamaanisha muundo wale, yanabadilika majina tu ya sehemu tu ila mambo ni yaleyale mpaka uzoefu (kama alivyodai ni kwa wahitimu).
Siku Hizi Watu Hawaandiki CV kutoka Kichwani ,Wanatumia AI ,Sasa Assume umesoma Course Moja na Mtu Mwingine Kasoma the same Course ,Nenda Kaiambie AI ikutengenezee Hio Cv ,Usually Mtapata majibu sawa .Sasa swali ni kwamba Unawezaje kujitofautisha?CV inafananaje naya mtu mwingine. Ni jambo ambalo haliwezekani.
Kama ni hivyo ni sawaSiku Hizi Watu Hawaandiki CV kutoka Kichwani ,Wanatumia AI ,Sasa Assume umesoma Course Moja na Mtu Mwingine Kasoma the same Course ,Nenda Kaiambie AI ikutengenezee Hio Cv ,Usually Mtapata majibu sawa .Sasa swali ni kwamba Unawezaje kujitofautisha?