Imagine mtoto anatoka Kagera, Songea kuja Arusha kwenye interview unamwambia huna original birth certificate wakati ana certified

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1. Mnawatangazia kuwa kama huna chati cha kuzaliwa original, leta affidaviti ku confirm your names.
2. Kama academic certificte imepotea na una copy certified leta hivyo na court affidavit

Watoto leo wameitwa Arusha wamerudishwa kwa masomo hayo mawili wengine wakati mliwatangazia wazi wazi kuwa affidavits and certfiee copies will satisfy the need

Imagine mtoto anatoka Kagera, Songea etc kuja Arusha unamwambia huna original birth certificate wakati ana certified copy na affidavit on topof police loss report.
 
Interview ina taratibu zake

Kama ni zautumishi Zina taratibu zake zipo wazi, na kama zilisimamiwa na utumishi pia ni kawaida.

Cheti OG iwe cha kuzaliwa au taaluma

Majina kutofautiana affidavits haitumiki labda deed poll unaweza kusaidika

Mambo yapo wazi ukiwa unatafuta kazi za serikali.

Ukipoteza cheti cha taalima tafuta duplicated toka kama Necta, Nacte etc sio kopi..

Ukija na lawama basi ni muhimu kujua sheria na kanuni zinazo Simamia mchezo wenyewe, tofauti na hapo omba mabadiliko ya hizo sheria na kanuni sababu ya athari utakazo ainisha

Unalaumu bila kuchukua hatua
 
Ila hata sisi watahiniwa hua tunazingua sana, usaili wa kwanza unarudishwa kisa huna cheti/kitambulisho halafu next time Tena unarudishwa Kwa kosa hilo hilo.
Hii ishu nmeshuhudia zaidi ya mara mbili, mwaka jana Novemba demu amerudishwa kisa hana cheti cha form four na huyo huyo tulikuwa nae kwenye usaili wa Februari pia alirudishwa.

Kama una affidavit, unashindwa nn kwenda kupata cheti sahihi?
Affidavit inatumika kwa muda/kwa niaba ya cheti husika na sio kitu permanent.
Em tujifunze kuwa serious na vitu aisee.
 
MODERATORS, SAWA MNAREKEBISHA HEADING WHICH IS GOOD SOMETIMES, BUT MNAONDOA CATCH WORDS KWENYE HEADING AMBAYO MHUSIKA ATAIONA KAMA IMELENGWA KWAKE AND TAKE ACTION. THE MENTION OF SIMBACHAWENE WAS NOT UNDERMINING HIS DIGNITY!
 
Interview ina taratibu zake

Kama ni zautumishi Zina taratibu zake zipo wazi, na kama zilisimamiwa na utumishi pia ni kawaida.

Cheti OG iwe cha kuzaliwa au taaluma

Majina kutofautiana affidavits haitumiki labda deed poll unaweza kusaidika

Mambo yapo wazi ukiwa unatafuta kazi za serikali.

Ukipoteza cheti cha taalima tafuta duplicated toka kama Necta, Nacte etc sio kopi..

Ukija na lawama basi ni muhimu kujua sheria na kanuni zinazo Simamia mchezo wenyewe, tofauti na hapo omba mabadiliko ya hizo sheria na kanuni sababu ya athari utakazo ainisha

Unalaumu bila kuchukua hatua
stupid ccm! roho ya mauaji mpaka kenye damu!
 
1. Mnawatangazia kuwa kama huna chati cha kuzaliwa original, leta affidaviti ku confirm your names.
2. Kama academic certificte imepotea na una copy certified leta hivyo na court affidavit

Watoto leo wameitwa Arusha wamerudishwa kwa masomo hayo mawili wengine wakati mliwatangazia wazi wazi kuwa affidavits and certfiee copies will satisfy the need

Imagine mtoto anatoka Kagera, Songea etc kuja Arusha unamwambia huna original birth certificate wakati ana certified copy na affidavit on topof police loss report.
Tunaongozwa na wajinga. Halafu wao wanajiona smart. Mbwa nyie Ma CCM.
 
1. Mnawatangazia kuwa kama huna chati cha kuzaliwa original, leta affidaviti ku confirm your names.
2. Kama academic certificte imepotea na una copy certified leta hivyo na court affidavit

Watoto leo wameitwa Arusha wamerudishwa kwa masomo hayo mawili wengine wakati mliwatangazia wazi wazi kuwa affidavits and certfiee copies will satisfy the need

Imagine mtoto anatoka Kagera, Songea etc kuja Arusha unamwambia huna original birth certificate wakati ana certified copy na affidavit on topof police loss report.
Unacceptable
 
Ukishazaliwa Afrika hasa Tanzania, Tayari umeshazaliwa kwenye upumbavu bila kutaka.
Ulishawahi kuzaliwa Ulaya na kuzaliwa tena Afrika? We mpumbavu wenzako tumeishi Ulaya, wazungu walivyoonyoka ht huo upumbavu wako usingeuleta humu. Mzungu na sherià au taratibu ni sawa na moyo na damu.
 
Pole. Next time mwambie asome requirements kabla ya kubeba begi na kukimbia tu kwenda kwenye usaili. Usaili Ni pamoja na kufata maelekezo yaliyoainishwa kwenye tangazo
 
Hawawezi kuelewa haya zaidi ya kutoa lugha chafu na kuomba huruma
 
Back
Top Bottom