Imagine mtoto anatoka Kagera, Songea kuja Arusha kwenye interview unamwambia huna original birth certificate wakati ana certified

Imagine mtoto anatoka Kagera, Songea kuja Arusha kwenye interview unamwambia huna original birth certificate wakati ana certified

Chini kabisa ya tangazo hua kunakua na maelekezo ya jumla.

Maelekezo hayo hua yanasema mtu aende na vyeti original.

Huyu mtoto aliyetoka Kagera, Songea mpaka Arusha hakusoma hayo maelekezo au alisoma akahisi wanatania
 
Usaili bila kufuata maelekezo lazima uone wasimamizi wa usaili ni wachawi. Watu siku hizi ni wengi sana hivyo kukosa kitu kidogo tu kilichoainishwa kwenye utaratibu waliouweka basi hufanyi usaili.
 
Ulishawahi kuzaliwa Ulaya na kuzaliwa tena Afrika? We mpumbavu wenzako tumeishi Ulaya, wazungu walivyoonyoka ht huo upumbavu wako usingeuleta humu. Mzungu na sherià au taratibu ni sawa na moyo na damu.
Mpumbavu ni Baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Zumbukuku wewe.
 
Chini kabisa ya tangazo hua kunakua na maelekezo ya jumla.

Maelekezo hayo hua yanasema mtu aende na vyeti original.

Huyu mtoto aliyetoka Kagera, Songea mpaka Arusha hakusoma hayo maelekezo au alisoma akahisi wanatania
Yap upo sahihi mkuu.
 
stupid ccm! roho ya mauaji mpaka kenye damu!
Utailalamikia sana ccm ila hapo hawahusiki, acha ufala fateni miongozo acheni kufanya vitu kimazoea. Uzembe mfanye wnyw Halafu unailalamikia ccm 😂 na bado
 
Tangu ufeli kwenye usaili wa waalimu una kisirani sana mkuu 😂
Sijafail mkuu. Nakerwa na Sheria kandamizi na unyanyasaji wanaofanyiwa watanzania wenzetu. Wewe kama ni Mnufaika wa mfumo wa hovyo wa serikali ya CCM huwezi elewa anachomaanisha mtoa Uzi.
 
Sijafail mkuu. Nakerwa na Sheria kandamizi na unyanyasaji wanaofanyiwa watanzania wenzetu. Wewe kama ni Mnufaika wa mfumo wa hovyo wa serikali ya CCM huwezi elewa anachomaanisha mtoa Uzi.
Kwenye hii mada mtoa mada analalamika bure tuu wao wenyw ndo wazembe na wanafanya vitu kwa mazoea.

Nawaunga mkono utumishi
 
Back
Top Bottom