Labda ya kazi, kama ni shule labda private.Ni interview ya kujuinga na shule Au kazi?
Hebu punguza ujuaji.Labda ya kazi, kama ni shule labda private.
Shule za serikali za interviews? Chache kama sio hamna kabisa
Unataka kujipa majibu?Hebu punguza ujuaji.
Hujaulizwa wewe
stupid ccm! roho ya mauaji mpaka kenye damu!Interview ina taratibu zake
Kama ni zautumishi Zina taratibu zake zipo wazi, na kama zilisimamiwa na utumishi pia ni kawaida.
Cheti OG iwe cha kuzaliwa au taaluma
Majina kutofautiana affidavits haitumiki labda deed poll unaweza kusaidika
Mambo yapo wazi ukiwa unatafuta kazi za serikali.
Ukipoteza cheti cha taalima tafuta duplicated toka kama Necta, Nacte etc sio kopi..
Ukija na lawama basi ni muhimu kujua sheria na kanuni zinazo Simamia mchezo wenyewe, tofauti na hapo omba mabadiliko ya hizo sheria na kanuni sababu ya athari utakazo ainisha
Unalaumu bila kuchukua hatua
Tunaongozwa na wajinga. Halafu wao wanajiona smart. Mbwa nyie Ma CCM.1. Mnawatangazia kuwa kama huna chati cha kuzaliwa original, leta affidaviti ku confirm your names.
2. Kama academic certificte imepotea na una copy certified leta hivyo na court affidavit
Watoto leo wameitwa Arusha wamerudishwa kwa masomo hayo mawili wengine wakati mliwatangazia wazi wazi kuwa affidavits and certfiee copies will satisfy the need
Imagine mtoto anatoka Kagera, Songea etc kuja Arusha unamwambia huna original birth certificate wakati ana certified copy na affidavit on topof police loss report.
Umemwuliza nani, uje kuandika humu unapewa ufafanuzi bd unatukana? We ni mpuuzi hivyo vyeti viko wapi km we siyo mzembe. Kumbe ni bwege tuHebu punguza ujuaji.
Hujaulizwa wewe
Unacceptable1. Mnawatangazia kuwa kama huna chati cha kuzaliwa original, leta affidaviti ku confirm your names.
2. Kama academic certificte imepotea na una copy certified leta hivyo na court affidavit
Watoto leo wameitwa Arusha wamerudishwa kwa masomo hayo mawili wengine wakati mliwatangazia wazi wazi kuwa affidavits and certfiee copies will satisfy the need
Imagine mtoto anatoka Kagera, Songea etc kuja Arusha unamwambia huna original birth certificate wakati ana certified copy na affidavit on topof police loss report.
Ulishawahi kuzaliwa Ulaya na kuzaliwa tena Afrika? We mpumbavu wenzako tumeishi Ulaya, wazungu walivyoonyoka ht huo upumbavu wako usingeuleta humu. Mzungu na sherià au taratibu ni sawa na moyo na damu.Ukishazaliwa Afrika hasa Tanzania, Tayari umeshazaliwa kwenye upumbavu bila kutaka.
Hawawezi kuelewa haya zaidi ya kutoa lugha chafu na kuomba hurumaPole. Next time mwambie asome requirements kabla ya kubeba begi na kukimbia tu kwenda kwenye usaili. Usaili Ni pamoja na kufata maelekezo yaliyoainishwa kwenye tangazo