Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Jamani kama una ukoo kama wangu ambao ukoo mzima hamna ndugu hata mmoja Dar basi una safari ndefu sana.
Yamenikuta mara 1000 haya majanga
Kuna biashara naifanya na ninapata wateja wengi wa Dar lakini nashindwa kufanikisha kwasababu sina ndugu wa kumuagiza kunichukulia mizigo yangu na kunitunzia then wateja waje hapo wachukue.
KIFUPI KAMA UNA UKOO WOTE MNAPATIKANA MKOA MMOJA TU AU MIWILI BASI JISEMEE.
“Eeh Mungu nifanyie Wepesi”