Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
- #21
Hao marafiki ndo sijajaliwaGeuza marafiki au tafuta marafiki wawe ndugu kuna watu wengi sana wanaishi na marafiki kama ndugu na issue zinaenda vizuri kuliko ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao marafiki ndo sijajaliwaGeuza marafiki au tafuta marafiki wawe ndugu kuna watu wengi sana wanaishi na marafiki kama ndugu na issue zinaenda vizuri kuliko ndugu
ndugu ni siyo kabisaUkitaka mgombane familia nzima ajiri ndugu yako.
Ukiweza mpe mtaji ajisimamie zaidi ya hapo utakosana mpaka na mama yako mzazi. atasema umemfanya kibarua
Aya mimi nitakuwa rafiki yako kwenye mishe nishtue ndivyo tunavyoishi mjini..!Hao marafiki ndo sijajaliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu aache kazi zake umuagize mizigo yako, unaijua dar kweli mtoa mada?
usije nitapeli mzigo wangu mkuu! watu wa mitandaoni hamuaminikiAya mimi nitakuwa rafiki yako kwenye mishe nishtue ndivyo tunavyoishi mjini..!
we bottom wa jf upo😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee Top wa JF upo?we bottom wa jf upo[emoji23][emoji23][emoji23]