Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Duuh kweli unasikitisha! Wengine tuna ndugu hadi kuwaambia unaenda Dar,unachagua maana usipowaona ni lawama balaa!Jamani kama una ukoo kama wangu ambao ukoo mzima hamna ndugu hata mmoja Dar basi una safari ndefu sana.
Yamenikuta mara 1000 haya majanga
Kuna biashara naifanya na ninapata wateja wengi wa Dar lakini nashindwa kufanikisha kwasababu sina ndugu wa kumuagiza kunichukulia mizigo yangu na kunitunzia then wateja waje hapo wachukue.
KIFUPI KAMA UNA UKOO WOTE MNAPATIKANA MKOA MMOJA TU AU MIWILI BASI JISEMEE.
“Eeh Mungu nifanyie Wepesi”
Njoo pm tuyajenge.Mimi niko dar hapa down town ila natokea kanda ya ziwa.Jamani kama una ukoo kama wangu ambao ukoo mzima hamna ndugu hata mmoja Dar basi una safari ndefu sana.
Yamenikuta mara 1000 haya majanga
Kuna biashara naifanya na ninapata wateja wengi wa Dar lakini nashindwa kufanikisha kwasababu sina ndugu wa kumuagiza kunichukulia mizigo yangu na kunitunzia then wateja waje hapo wachukue.
KIFUPI KAMA UNA UKOO WOTE MNAPATIKANA MKOA MMOJA TU AU MIWILI BASI JISEMEE.
“Eeh Mungu nifanyie Wepesi”
Kweli kabisa lo
Yeye anawasaidia nini ?Wanakusaidia nin
hongera😂Duuh kweli unasikitisha! Wengine tuna ndugu hadi kuwaambia unaenda Dar,unachagua maana usipowaona ni lawama balaa!
😂😂😂Ndugu aache kazi zake umuagize mizigo yako, unaijua dar kweli mtoa mada?
mbona inawezekana mkuu tena sanaNi Ukoo au Familia...inakuwaje Ukoo mzima hamna Ndugu anayeishi Dar
Mi niko mkoa mwingineJitahidi uwe wa Kwanza kwenye Ukoo kuwa na Makazi Dar.Kisha vuta wengine.Watie Moyo wanaukoo wengine waende Amerika au Asia wakaanzishe himaya huko.Kama mko Mkoa mmoja tawanyikeni.Aliniusia babu kwamba ndugu msikae Kijiji kimoja,mtagombana.Toka kwenda sekondari ndiyo mwanzo wa Familia na Ukoo Kutawanyika Mikoa na Nchi zingine.
sina biashara kubwa ni ujasilia maliUngeweza kuwa na ndugu na bado wasiwe msaada kwako au wakakuibia mzigo wako.
Nakushauri shukuru kwa kila jambo.
Tafuta mtu/kampuni muandikishane mkataba,nifanye biashara.
Geuza marafiki au tafuta marafiki wawe ndugu kuna watu wengi sana wanaishi na marafiki kama ndugu na issue zinaenda vizuri kuliko nduguJamani kama una ukoo kama wangu ambao ukoo mzima hamna ndugu hata mmoja Dar basi una safari ndefu sana.