Imagine Waziri wa Mambo ya Ndani anaitisha Press kujadili kalio la Pipy Tida, na vichambo vya Anko T!

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Sawa hatujawachagua mkajiweka wenyewe kwenye hivyo viti, unajua mwenye akili hata anajibaraguza walau kufanya mambo vizuri ili apate kukubalika hata kidogo, ila wapuuzi ndo kwaaanzaaa wanatutibua vuz*

Yaani unaitisha press kabisa kujadili kalio la Pipy, sijui vichambo vya Ankon T, mara sijui Gigy kafanya nini, sijui Doto magari kasema upuzi gani.... aaaah kubaabeki, napata hasira tu mimi mpaka naona ntapasuka.

Kwani Bara waganga na wachawi wote ndo team yake? Hatuna hata mmoja team Haki?😂😂😂 min -me naomba chupa mbili hapo nipunguze joto

Anyhu, turudi kwenye jambo la maana, Kesi ya Lissu inaendelea, hilo la content creators, sijui Da Pipy nishushe, sijui nna dukuduku, etc, etc, etc.... yapite....

Na leo Nchimbi hajaonekana..... jamaa kweli kawekwa lockup! Hivi ndo tumeamua kumtelekeza sababu wakati fulani alivaa kijani? Au na yenyewe ni project?
 
Waziri anatafuta content, haya ndio madhara ya serikali kuingia madarakani pasipo ridhaa ya wananchi
 
Wanautuongoza ww unazani akili zao zinakosa kuwa hv kwel mkuu wanguu...
FB_IMG_1787232935573.jpg
 
Viongozi wa sasa wana tatizo la "Main Character Syndrome". Kila kiongozi anataka azungumziwe yeye na aliyemteua, wanatafuta umaarufu kuliko utendaji wa kazi. Including Mama.

Hili linafanya Tanzania kuwa Taifa la kambale, kila kiongozi ana ndevu, wote wanataka wapate umaarufu ikiwa hakuna kazi ya maana wamefanya. Waziri Mkuu alijaribu kujifanya main character lakini akachemka.

Ukiwa Timamu na ukaamua kufuatilia Siasa za Nchi hii ni kujitakia Pressure, hasira na makasiriko yasio na sababu ya msingi, maana Ujinga ni mwingi sana.

Anyways, Bahari ikitulia, tutajua nani alikuwa anaogelea bila nguo.
 
Waziri wa mambo ya ndani ameshindwa kuuongelea na kuzuia
Utekaji
Mauaji
Kubambikia kesi
Rushwa
Uonevu kutoka Kwa polisi
Hali mbovu za magereza na wafungwa
Ukirimba huko uhamiaji
Ujambazi
Ubakaji
Ajali za barabarani
Foleni ya Dar
 
Nimependa jinsi umeelezea hii kwa uzuri👏
 
Waziri wa mambo ya ndani ameshindwa kuuongelea na kuzuia
Utekaji
Mauaji
Kubambikia kesi
Rushwa
Uonevu kutoka Kwa polisi
Hali mbovu za magereza na wafungwa
Ukirimba huko uhamiaji
Ujambazi
Ubakaji
Ajali za barabarani
Foleni ya Dar
Kalio la Pipy limekuwa muhimu kuliko yote hayo!
 
Back
Top Bottom