Yana mwishoKalio la Pipy limekuwa muhimu kuliko yote hayo!
Kufuatilia hao wapuuzi n kazi tosha hvy waziri alikuwa kazini 😂Kuchunguza kama Anko T anaweza kutoa pasi 😂😂😂 Mkuu walau umenipa tabasamu
Kwa yaliyotokea kwenye uchaguzi, mi nilidhani serikali itachapa kazi kwelikweli kurudisha trust , ila bado wapo na mawazo yaleyaleHii ni kweli, yaani unasoma kitu unachemka unatamani upasue mtu hasira zishuke.
Serikali imempa ulinzi na kumuwekea mafuta kufatilia huo upuuzi.Kufuatilia hao wapuuzi n kazi tosha hvy waziri alikuwa kazini 😂
Na hapo kwenye kikao kulikuwa na posho ya 100k kwa kila mtu, na huyo waziri posho yake ya kikao sio chini ya 300kSerikali imempa ulinzi na kumuwekea mafuta kufatilia huo upuuzi.
Hii picha ya hospitalini ya Samia umeipataje wakati ugonjwa ni siri ya doctor na mgonjwa ...Wanautuongoza ww unazani akili zao zinakosa kuwa hv kwel mkuu wanguu...View attachment 3662088
sema pipytida kama atakuwa serious na kile kipindi anaweza akapiga pesa ndefu kuliko kuuza kubwa na ndogo.... Atulie aache kuzitesa sehemu zake za siriWaziri ana duku duku, akaona apandishwe na yeye, 😂😂😂😂
Jamaa ni low IQ sanaSawa hatujawachagua mkajiweka wenyewe kwenye hivyo viti, unajua mwenye akili hata anajibaraguza walau kufanya mambo vizuri ili apate kukubalika hata kidogo, ila wapuuzi ndo kwaaanzaaa wanatutibua vuz*
Yaani unaitisha press kabisa kujadili kalio la Pipy, sijui vichambo vya Ankon T, mara sijui Gigy kafanya nini, sijui Doto magari kasema upuzi gani.... aaaah kubaabeki, napata hasira tu mimi mpaka naona ntapasuka.
Kwani Bara waganga na wachawi wote ndo team yake? Hatuna hata mmoja team Haki?😂😂😂 min -me naomba chupa mbili hapo nipunguze joto
Anyhu, turudi kwenye jambo la maana, Kesi ya Lissu inaendelea, hilo la content creators, sijui Da Pipy nishushe, sijui nna dukuduku, etc, etc, etc.... yapite....
Na leo Nchimbi hajaonekana..... jamaa kweli kawekwa lockup! Hivi ndo tumeamua kumtelekeza sababu wakati fulani alivaa kijani? Au na yenyewe ni project?