Imagine Waziri wa Mambo ya Ndani anaitisha Press kujadili kalio la Pipy Tida, na vichambo vya Anko T!

Waziri wa mambo ya ndani ameshindwa kuuongelea na kuzuia
Utekaji
Mauaji
Kubambikia kesi
Rushwa
Uonevu kutoka Kwa polisi
Hali mbovu za magereza na wafungwa
Ukirimba huko uhamiaji
Ujambazi
Ubakaji
Ajali za barabarani
Foleni ya Dar

Hiyo ni sehemu ya kazi zake.
 
Huyo Katambi kila siku yuko live kwenye TV..

Kama sio attention seeker ama kutafuta cheap popularity..

Tabia ya incompetent leader..

Kama unatafuta kuwa noticed Kstambi,Pole sana..RAIS anaku notice kwenye maujinga maujinga soon utalimwa Kama ana akili..manake kuita press conference wasanii kwenye maujinga maujinga wakati kuna more pressing issues ni wastage of time!
 
Waziri Mkuu alijaribu kujifanya main character lakini akachemka.
Bhana weeee na bendera ya taifa shingoni 🀣🀣🀣 saivi hoiii hata hajui aanzie wapi? Kuna kengine kakijana kalojaa tamaa eti kawaziri ka wizara ya vijana! nako kilianza viziara uchwara nako kiiiimyaaaaa!
 
Nasikia pia ametangaza misamaha ya dhambi kwa wakosaji!
 
Kuna mtu alishawahi kusema Tanzania ni chaneli ya vichekesho huko duniani
 
si ndo agenda za kitaifaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nchi hii kwa sasa ilipofika ni huzuni...sijui tunatokaje hapa
 
Katambi ni muhuni mpenda Kiki heti Katambi ni waziri alafu Lissu yuko jela
Waafrika tumelogwa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…