Imam aliyeishi Italy miaka 30 afukuzwa baada ya kuagiza waislamu waanze vita dhidi ya wasioamini katika uislamu

Huyo mzee ni msharii muonekano tu unaonyesha.
 
Italy imeanzisha ukristo?? Kipindi gani hiko
 
Huku ujerumani wanaotoka nchi za kiislamu wanareport Auslandbehorde(Uhamiaji) kila miezi mitatu kwa ajili ya security check. Kuna mbangladesh amebadili passport na kuhamia uraia wa india maana yeye ni muhindi raia wa bangladesh. Alichoka mambo ya kureport kila miezi mitatu.
 
Wangeng'oa na hiyo minywele kwanza ndo wamrudishe kwao
 
Alitakiwa anyongwe na maupuzi yake
 
Soma, tafakari, ndio upost. Huu

Huyo imamu kapinga ushoga ndio sababu na humu mashoga wameisha shupaa. Ushoga upingwe tu hata kama Vatican inasapoti au kukaa kimya.
Weka ushahidi ya unachosema. Na ujue Pakistan ndiyo nchi inaongoza duniani kwa kuangalia ngono ya za mashoga duniani. Ni fursa kwake kwenda kuwakemea hao wapakistani wenzake ambao wanashinda mtandaoni kuangalia ushoga ili na wao wakafanyiane wao kwa wao
 
ukifatilia vizuri unagundua kumbe ugonjwa wa akili tuu...hakuna dini palee kw kobaz
 
Nahii ndio maana halisi ya unafiq, kwaio boko haram wanaoteka wasichana nakuwasilimisha kwalazima wale niwapentekoste sio waislam eeeh
 
Nchi ya watu umeifadhiwa unaleta sharia za Jangwani kwenu...!
Haya Mamtu ni majinga kweli kweli kuanzia kubazi mpaka ndevu ni ufala tu.

Hivi mtu huwezi ishi bila dini? Napata picha dini ni biashara.
 
Soma post # 22
👇 👇
Kweli eeh...!
 
Soma, tafakari, ndio upost. Huu

Huyo imamu kapinga ushoga ndio sababu na humu mashoga wameisha shupaa. Ushoga upingwe tu hata kama Vatican inasapoti au kukaa kimya.
Msikilize huyu mama hapa chini ujue mashoga ni akina nani hasa.

Hapa Zanzibar tu kuna makadhi na maimamu wanaosalisha ibada misikitini wanamiliki wasenge manyumbani mwao bila aibu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…