Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mpo wengi sana brain washed na huo upumbaf.Soma, tafakari, ndio upost. Huu
Huyo imamu kapinga ushoga ndio sababu na humu mashoga wameisha shupaa. Ushoga upingwe tu hata kama Vatican inasapoti au kukaa kimya.
Kuna neno lolote la ushoga limeongelewa katika post hiyo?
Embu lioneshe